Je, umewahi kujaribu juisi ya tembele?

Je, umewahi kujaribu juisi ya tembele?

ommytk

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
520
Reaction score
1,143
Hivi kwa wale wenye uhitay wa hivi vitu je mmewahi kutumia juisi ya tembele kwa ajili ya nguvu za kiume aisee ni hatari hiyo kitu kama ujajaribu ebu leo nenda kajaribu utakuja niambia pia madhara hakuna kabisa hiyo nichakula
 
Huko tunakoenda watu watasaga Hadi mavi makavu kwenye blenda ili kubust nguvu za kiume
 
Nazidi kuamini issue hii imekuwa changamoto kubwa sana katika jamii yetu. Lakini ingependeza zaidi pia tutumie nguvu kubwa kufahamu dawa ya kuimarisha ubongo nadhani tutafika mbali sana.
 
Nazidi kuamini issue hii imekuwa changamoto kubwa sana katika jamii yetu. Lakini ingependeza zaidi pia tutumie nguvu kubwa kufahamu dawa ya kuimarisha ubongo nadhani tutafika mbali sana.
Ni porno ndio zinaharibu watu na story za vijiweni, hakuna tatizo kubwa. Bao la Kwanza muda wake unajulikana, mtu anataka atumie DKK 50 au Saa moja kwa bao la Kwanza, Yani unajitafutia tatizo pasipo na tatizo.
 
Mtanyweshwa hadi sifungo mnataka muige mapigo ya akina Mandingo na page lasane
 
Matembele ununui kwangu mimi nakuelekeza tu namna kutengeza na mchanganyiko wake unafanya nyumbani kwako mwenyewe wala mimi nawewe atuonani wala sasa iweje useme promo hii ungeambiwa na mzungu bei laki ungeenda nunua wabongo tunadharau sana vitu vya bure aya tuendelee
 
  • Thanks
Reactions: THT
Hivi kwa wale wenye uhitay wa hivi vitu je mmewahi kutumia juisi ya tembele kwa ajili ya nguvu za kiume aisee ni hatari hiyo kitu kama ujajaribu ebu leo nenda kajaribu utakuja niambia pia madhara hakuna kabisa hiyo nichakula
kwa wasiojua matembere ukiyasaga na blender yakiwa mabichi ni mazuri sana kwa kuongeza damu hii kwa akina mama wajawazito inafaa sana na hata mgonjwa yoyote mwenye upungufu wa damu hii unatumia siku nne tuu utapata majibu waweza kunywa mara tatu au nbili kwa siku galasi tatu ama mbili.

Hii ya nguvu za kiume ndio naisikia kwa sasa, ila hiyo ya kuongeza damu mimi mwenyewe nimewahi kuyatumia.

Ukiona ladha yake inakushinda unaweza kuchanganya na juice ya karoti kiasi ukatumia.

Juice ya karoti ni unaiparua kidogo maganda halafu unakata kata vipande vidogo unasaga na blender unaweka maji kidogo.

Na tembele wakati wa kusaga weka maji kiasi.

Ila hakikosha tembere hilo ni lile unalolijua lilimwagiliwaje hasa kwa watu wa jijini dar huwa mboga nyingi za majani si salama kutokana na maji wanayomwagilia.
 
Aisee mwisho tutakunywa maji ya betri tukufwe😀😀.

Haya tuelekeze mkuu unaandaje hilo tembele??
ili na sie tukaunge tela uzi wetu pendwa wa kijana rickboy
 
Sijatulia nikitulia nitakuja na namna gani unaandaa hii juisi
 
Back
Top Bottom