uliona nni?Kama huamini fanya sasa hivi jaribio hili la kujitazama usoni muda mrefu lazima sura yako itabadilika tu.
Umefanana na kiboko mkuu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Habari nyingi kwenu.
Huwa nafanya jambo hili sana ila sijui nini maana yake...
Kuna wakati naamua kuitazama sura yangu kwenye kioo kama sekunde 30 hadi dakika moja baada ya hapo naona sura inabadilika na kuwa ni sura ya kutisha sana..
Wakuu sasa naomba mwenye uelewa wa hili jambo anijue na hii sio mimi tu naamini ni kwa viumbe vyote binadamu wanya hadi wadudu.
Kama huamini fanya sasa hivi jaribio hili la kujitazama usoni muda mrefu lazima sura yako itabadilika tu.
Naomba kuelimishwa juu ya hili.
Pepo hilo....😏
uliona nni?
inabadilika kuwa na umbile gani mkuu?
Au unakusudia uzee?
Umefanana na kiboko mkuu😁😁😁😁
Ipo siku kitakuja kukuandikia invalid face
Kioo hakidanganyi,
Unatishaaaaaaaaaaaaaa
Vitu vyepesi hivyo muwe mnaweka na picha.
Una kasura kama umemeza ndimu mkuu?😂😂joke. Mimi kuna sehemu naiangaliaga kwenye kioo aki huwa nashangaa Mungu alifikiria nini 😂
Safiii sanaSura ya kiutu uzima.View attachment 2092967
Itaje😂Una kasura kama umemeza ndimu mkuu?😂😂joke. Mimi kuna sehemu naiangaliaga kwenye kioo aki huwa nashangaa Mungu alifikiria nini 😂
Hakuna kitu cha namna hii nitapinga mpk kesho.Mtoa mada katoa swali la kitaalamu kidogo japo mme-troll kwa alichokiuliza.
Ipo hivi Ukijiangalia kwenye kioo kwa muda wa dakika moja unakua unajiona wewe halisi ikizidi dakika moja Mind yako inaanza kukudanganya kwaba wewe ni mzuri/mbaya. Ndio maana kadri ya jinsi unavyojiangalia kwenye kioo muda mrefu ndio unaanza kujiona mzuri/mbaya. Kwanini??
Ubongo wako unachoka kuangalia kitu kimoja tu muda mrefu hivyo unaanza kukuletea sifa zingine mpya usoni mwako ambazo si halisi ili uridhike kwamba wewe ni mzuri/mbaya iliuache kujiangalia au inafanya hivyo ili kukutia hamasa kwamba nawe ni mzuri.
Kumbe ukweli wanajua wakuonao, so ukijiangalia kwenye kioo usijisifu Kwamba ni mzuri acha watu wakuambie.
This is scientific correct!
Unaweza kusoma zaidi hapa jinsi ubongo/Mind unavyotudanganya kuona vitu visivyo halisi (Illusion)
Mind Illusion Projection: Jinsi ya kuidanganya mind ione vitu visivyo halisi kua ni halisi
Salute mate; Wanasemaga kwamba many of our battles we fight don’t exist, we make them exist because we create our own Demons. Kwamba mambo mengi yasiyo kawaida tunayoyaona hua sio halisi ila ni sisi tunayafanya yawe halisi, mfano unaweza kua unatembea njiani usiku ukaanza kuona mti Fulani...www.jamiiforums.com
Hahaa inajulikana mkuu😀Itaje😂
Mh! Hapana taja hata imepakana na nini wengine hatujajua bado😂Hahaa inajulikana mkuu😀
Kumbe umeanzisha mada ili ubishane na sio kujuzwa. Haya ngoja nifute comment yanguHakuna kitu cha namna hii nitapinga mpk kesho.
Sijaanzisha Mimi uzi ushalewa mkuu😂Kumbe umeanzisha mada ili ubishane na sio kujuzwa. Haya ngoja nifute comment yangu