Je, umewahi kujiangalia kwa muda mrefu kwenye kioo?

Je, umewahi kujiangalia kwa muda mrefu kwenye kioo?

Hahaha
7288ad8364c9e7c3bfd69d72ed2080ab.jpg
 
Kama hawana uwezo wa kuongea wanashindwa nini kuyaandika yale waliyoyaona ili yasomwe na wengi?
Wataalamu wa elimu ya mambo yasiyoonekana usema ukitazama kioo unaacha sura yako pale pia kioo unasa sura za hata visivyoonekana mfano wachawi,majini nk thus awashauri watoto ambao awajaanza kuongea kuruhusu kuwaonyesha vipo wao huwa wanaona kilichomo kwenye kioo.
Mtoto akishaanza tu kuongea au kupata ufahamu ule uwezo wake wa kuona visivyoonekana unakufa.
Mbwa, bubu, kichaa, wanyama,ndege,watoto wachanga uona visivyoonekana lakini hawana uwezo wa kuongea.
Mabubu hawana uwezo wa kuongea, lakini wana uwezo wa kuandika
 
Kioo pekee kinasimama kama ulimwengu huru.. kupitia kioo unaweza kujitambua wewe ni Nani?
Kupitia kioo unaweza kuzungumza na mtu au mfu
Kupitia kioo unaweza kuona vitu unavyovitambua au usivyovitambua.. vilivyopita,viliopo na vijavyo.. kupitia kioo unaweza kutoka nje! Ya dunia kwa ushauri ukishamaliza kutumia kioo kwa matumizi ya kawaida kifunike au kizibe na kitambaa mpaka utakapokuja kukitumia kwa mara nyingine..
 
Hili ni jukwaa la Intelligence lakini naona soon linaenda kupoteza sifa yake.
Hili swali linaonekana ni rahisi lakini linahitaji critical explanation, sasa naelewa kwanini wazungu waliwafanya waafrika watumwa.

Kama uko serious nashauri upite quora au reddit watu walishauliza na majibu yapo huko.
 
Kioo pekee kinasimama kama ulimwengu huru.. kupitia kioo unaweza kujitambua wewe ni Nani?
Kupitia kioo unaweza kuzungumza na mtu au mfu
Kupitia kioo unaweza kuona vitu unavyovitambua au usivyovitambua.. vilivyopita,viliopo na vijavyo.. kupitia kioo unaweza kutoka nje! Ya dunia kwa ushauri ukishamaliza kutumia kioo kwa matumizi ya kawaida kifunike au kizibe na kitambaa mpaka utakapokuja kukitumia kwa mara nyingine..
Aisee
.
 
kuna swali unajiuliza kichwani kuwa ww ni nani! ndio maana huachi kujiangalia ktk kioo na image unazozijenga kichwani ndio hizo unazoziona. xo jikubali na ndio upo hivyo.[emoji4][emoji4]
 
Back
Top Bottom