Je, umewahi kujiangalia kwa muda mrefu kwenye kioo?

Kama hawana uwezo wa kuongea wanashindwa nini kuyaandika yale waliyoyaona ili yasomwe na wengi?
Mabubu hawana uwezo wa kuongea, lakini wana uwezo wa kuandika
 
Kioo pekee kinasimama kama ulimwengu huru.. kupitia kioo unaweza kujitambua wewe ni Nani?
Kupitia kioo unaweza kuzungumza na mtu au mfu
Kupitia kioo unaweza kuona vitu unavyovitambua au usivyovitambua.. vilivyopita,viliopo na vijavyo.. kupitia kioo unaweza kutoka nje! Ya dunia kwa ushauri ukishamaliza kutumia kioo kwa matumizi ya kawaida kifunike au kizibe na kitambaa mpaka utakapokuja kukitumia kwa mara nyingine..
 
Hili ni jukwaa la Intelligence lakini naona soon linaenda kupoteza sifa yake.
Hili swali linaonekana ni rahisi lakini linahitaji critical explanation, sasa naelewa kwanini wazungu waliwafanya waafrika watumwa.

Kama uko serious nashauri upite quora au reddit watu walishauliza na majibu yapo huko.
 
Aisee
.
 
kuna swali unajiuliza kichwani kuwa ww ni nani! ndio maana huachi kujiangalia ktk kioo na image unazozijenga kichwani ndio hizo unazoziona. xo jikubali na ndio upo hivyo.[emoji4][emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…