Mme Mwenza
JF-Expert Member
- Feb 6, 2025
- 2,950
- 4,285
sana yaan.Sanaaaaa ...kuna feelings fulani huwezi zipata kwenye vyoo vya matofali hivi vya kisasa.
hahahahaha ni nature life styleUnaweza kuta wachangia mada ni vigogo wakubwa serikalini
hahaha duu pole mkuu. Mim niliwah kubanwa mkojo tu bas ndo linatoka ubungo stand.Si bora ulikua na kamkweche kako, hiyo ni baraka. Mm nlishapata hiyo kadhia natoka Arusha naenda Dar niko na Kilimanjaro nikamuomba dereva asimame niweze kuhara, tena hapo nimembembeleza hata hakua na mpango wa kusimama. Baada sasa ya kusimama, hizo honiii. Jamani unazijua honi za basi kubwa ndio unaharisha??? Ikabidi nikatishe. Kurudi kwenye basi tumbo likavurugika upyaaaa bahati nzuri hapo tumeshakaribia shekilango. Ni Mungu tu alinisitiri siku ile aisee.
He he Yani afadhali mabasi ya sikuhizi yana maliwatohahaha duu pole mkuu. Mim niliwah kubanwa mkojo tu bas ndo linatoka ubungo stand.
nilimwomba dreva alikataa kusimama tulipofka pwan hapo hari tete, anadai mpaka tufke moro nijikaze. Kibaya yaid nilikua nimekaa seat ya mbele.
Ase kibofu kilijaa nikawa ka mjamzito najigeuza tu.
Basi lilipofka msamvu stand, asee nilishindwa kuamka kweny seat, niliamka mwa mbinde.
kabxa mkuu, na nilipanda yakizaman cjui ndo ZUBE inaenda had geitaHe he Yani afadhali mabasi ya sikuhizi yana maliwato
Ulikosea sana kuchukua maji kwenda kutawazia.Ulipaswa uchume majanj ndiyo utawazie.Na kumbuka:Unapokuwa umechuchumaa uweke mikono kwenye mashavu kama umepaki bodaboda huku unaangalia angani kwa tafakari kubwa sana.
Tupe kwanza Ile ID maarufu ambayo iko verified ndipo tuenselee na mjadala.Me juzi juzi tu hapa nilikua nasafiri,tumbo la kuhara likanishika ghafla..nikapaki ka mkweche kangu pembeni,nikachukua maji niliyokua nimeyanunua kwa ajili ya kunywa nikaingia kichakani nikaendesha wee mpaka nikamaliza,ila muda wote niliokua nimechuchumaa nilikua na mawazo ya itakuaje niking'atwa na nyoka?
Vipi na wewe mdau,ushawahi kukutana na hali kama hii?
Unapigaje saluti huku umekaa kwa kapani?Nyooka kuruta!Salute!Mzee wa vichaka unatoa experience yako ya miaka 25 ya kujisaidia vichakani hakika wewe ni mbobevu, salute
SinaTupe kwanza Ile ID maarufu ambayo iko verified ndipo tuenselee na mjadala.
Mimi nikiwa jeshini niliwahi 😅😂 lakini kubra alikosa kosa kunigonga makalio😅😂 nilitoka nduki sana.Sina
Anajikataa tu, ila huyu inaonekana ni mzoefu sana aseeSijawahi