Je umewahi kukanyaga nchi gani? Taja list yako

Je umewahi kukanyaga nchi gani? Taja list yako

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,030
Reaction score
61,298
Mimi mpaka sasa nimeshafika nchi hizi:

Ethiopia
Thailand
Timor-Leste
Indonesia
Myanmar
Singapore
Ufilipino
Msumbiji
Japan

Sasa ni zamu yako. Taja nchi ulizowahi kutembelea, iwe kwa kazi, masomo, biashara au utalii. Pia ni nchi ipi bado ipo kwenye bucket list yako..mimi nataka sana kutembelea Mongolia uzebkistan,new zealand ,bhutan,south africa,saudi arabia na sweden
 
Nchi niliyowahi kukanyaga hadi muda huu ni
1.Tangayika
2.Malawi
 
Back
Top Bottom