Je, umewahi kukatishwa tamaa katika kujaribu kwako? soma hii

Je, umewahi kukatishwa tamaa katika kujaribu kwako? soma hii

Mama Mwana

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2023
Posts
2,435
Reaction score
7,784
Maisha bwana ya matukio mengi sana, kuna watu hao ni maalum ku critisize wengine, mtu unaona ana kitu atafika mbali unamkatisha tamaa ili ugundue nini kama sio roho ya kichawu inakuandama? unayejaribu usikatishwe tamaa na watu.

1. Fanya kile unaona ni sahihi usipendelee kumshirikisha kila mtu mitikasi yako, kumbuka kikulacho kinguoni mwako, akuchekeaye usoni moyoni hayuko hivyo.

2. Usiache kujaribu, kwenye kujaribu kuna mawili kupata au kukosa, ukijaribu ukapata ndio imeenda,ukikosa usivunjike moyo endelea kujaribu ipo siku yako

kila la heri!
 
Back
Top Bottom