Je, umewahi kukutana na mtumiaji wa JF katika maisha ya uhalisia (Jamii)?

Je, umewahi kukutana na mtumiaji wa JF katika maisha ya uhalisia (Jamii)?

Kuna member tulikutana huko FB kumbe ni mwenyeji humu ndani alikuwa rafiki yangu sema tumepotezana tatizo lake anapenda kuongea ujinga ujinga akikutana na mwanamke afu ni team kataa ndoa ID yake hata sijui ni ipi anabadili majina tu
 
Back
Top Bottom