Je, umewahi kula mnyama ama wadudu gani Hadi ukajisemea nilikuwa wapi siku zote hizo? Nimekula wanyama wengi sana.

Nilikula nyama ya binti wa kinyakyusa anaitwa Amenye mtamu balaa ila nashea na dereva mmoja wa serikali yupo Dodoma TAEK
 
KIMOTCO
 
Senene na nswa
 
Mi hakuna mnyana sijala kutoa fisi simba na chui..
Na upande wa ndege ni mbayuwayu tuu ndo sijaonja
 
Katika kuishi kwangu porini muda mrefu, nilijikuta nafakamia wadudu na wanyama wa kila aina.
Nimekula kobe, kenge, nguchiro, kima, mbega, ndezi, kuhe, nungunungu etc.
Kuna sehemu niliishi nikaamua kufuga kuku. Kuna hawa wanyama waharibifu wakaanzisha bifu na mimi kwa kunichukulia kuku wangu; kicheche, suzi na pakapori. Ilibidi nianze kusuka mipango ya kuwawinda kwa mitego na wote niliishia kuwanasa na sikuwa na ajizi zaidi ya kuwatengeneza ndafu na kaugali kwa mbaaali!

Katika nyama zote niliinjoi sana siku nilipokuwa nyama ya kiboko! Ni tamu balaa huyo kasongo na noa wakasome!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…