Je, umewahi kula mnyama ama wadudu gani Hadi ukajisemea nilikuwa wapi siku zote hizo? Nimekula wanyama wengi sana.

Umenikumbusha nimwambie wifi yako aniandalie bakuli la senene. Kesho nikiingia tu maskani sitaki kula chakula kingine chochote kabla ya kula senene
 
Porini Kuna mambo mazuri sana hasa ikiwa mtundu wa mitengo nyama za ng'ombe hutakuwa nazi time
 
Wengine wapo wanafanana na na nyingu sema wao ni wanene na wantoka kwenye vichuguu vilevile asee wanalika vizuri TU. Sijui ndo hao?
Hao wanaofanana na nyigu nawajua ila sijawahi kula bibi alikuwaga anawa HAO NINAOWAZUNGUMZIA WAKO KAMA KUMBIKUMBI WALE WANAOTOKA SANA MVUA IKINYESHA inasemekana kumbikumbi ukiwala unakua kiziw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…