Habari wadau, mimi ni mtumishi wa umma nilijiunga na NIC miezi 10 iliyopota walipotutembelea ofisini kwetu na kutueleza aina mbali mbali za bima na faida zake.
Kilichonileta hapa kwenu ni kuuliza je ni kweli wanatoa faida kama wanavyosema? Nmepata nafasi ya kuangalia reviews za watu mtandaoni asilimia kubwa ni watu kulalamika shirika kutotimiza masharti ya mkataba.
Naombeni maoni yenu? Kama ni mbaya utaratibu wa kujitoa unakuwaje?
Asante
Nakuandikia sentensi ya jumlajumla:Habari wadau, mimi ni mtumishi wa umma nilijiunga na NIC miezi 10 iliyopota walipotutembelea ofisini kwetu na kutueleza aina mbali mbali za bima na faida zake.
Kilichonileta hapa kwenu ni kuuliza je ni kweli wanatoa faida kama wanavyosema? Nmepata nafasi ya kuangalia reviews za watu mtandaoni asilimia kubwa ni watu kulalamika shirika kutotimiza masharti ya mkataba.
Naombeni maoni yenu? Kama ni mbaya utaratibu wa kujitoa unakuwaje?
Asante
Huyu kaja humu kwa wakora kupata ushuri😄😄😄Ni kweli wanatoa faida kama walivyosema faida nyingine unaweza ukakopa mkopo wa nisogeze ukitimiza mwaka
Hiyo ni life insuarence ya ainayake😄,though ni shirika la kiserikali.Nakuandikia sentensi ya jumlajumla:
Wanakukusanyia/wanakata kiasi cha fedha yako kutoka kwenye kipato chako kama mlivyokubaliana na kukuhifadhia tu.
Kisha,muda mliokubaliana ukiisha, wanakurudishia kwa mkupuo.Nadhani umeelewa mkuu!?
Dah! Ukweli mchunguHiyo ni life insuarence ya ainayake😄,though ni shirika la kiserikali.
Inaanzia millioni 5 mpaka millioni 40.It depends wewe unataka ukatwe kiasi gani na kwa muda gani.
Mwamba ajue tu hicho ni kibubu ila kuna kariba kidogo anapata😄😄😄
Kama uliweka ukusanye millioni 10 kiuhalisia kwa kiasi hichohicho wanachokukata wewe ungedunduliza mwenyewe ungepata let say millioni 7 ila kwao unapata millioni 10.
Faida nyingine ni fao la Kupata majanga kazini.Ambapo kigezo ni lazima uwe umechangiwa walau miaka 3 ndio utakuwa mnufaika wa mfuko.
Faida nyingine wanakopesha mikopo midogo kwa riba ya asilimia 4 kwa wanachama ambapo mkopo unakima cha juu millioni 2.
Faida nyingine unaruhusiwa kujitoa ila utarudishiwa asilimia kadhaa sio hela yote.
#ushauri wa bure Watnzania mjenge utamaduni wa kusoma policy ya huduma husika.Pia zingatieni vigezo na masharti na waulizeni maswali ya msingi hao mawakala wanapokuja kuwajuza kuhusu huduma zao.Na ikiwezekana omba muda wa kutosha ukafanye research yako ukiridhika ndio ujiunge.Acheni utahira!!!
Ni kweli wanatoa faida kama walivyosema faida nyingine unaweza ukakopa mkopo wa nisogeze ukitimiza mwaka
hao jamaa jau sana ,kimsingi bima za kibongo ni usanii mtupu, wnakula hela tu hamna ubunifu wala faida yoyote kwa wanaochangia hizo bima.Shtuka.
Shida hamsomi vigezo na masharti😄😄😄mnabaki kuskiaskia tu.
Na habari mbaya mkataba wao wameuandika kwa kingereza ambacho bila AI watanzania wengi hawaelewi kitu, wanatoka kapa .
Nenda ofisini kwao, acha kusumbua watu kijana wa TAMISEMI.
Hiyo ni life insuarence ya ainayake😄,though ni shirika la kiserikali.
Inaanzia millioni 5 mpaka millioni 40.It depends wewe unataka ukatwe kiasi gani na kwa muda gani.
Mwamba ajue tu hicho ni kibubu ila kuna kariba kidogo anapata😄😄😄
Kama uliweka ukusanye millioni 10 kiuhalisia kwa kiasi hichohicho wanachokukata wewe ungedunduliza mwenyewe ungepata let say millioni 7 ila kwao unapata millioni 10.
Faida nyingine ni fao la Kupata majanga kazini.Ambapo kigezo ni lazima uwe umechangiwa walau miaka 3 ndio utakuwa mnufaika wa mfuko.
Faida nyingine wanakopesha mikopo midogo kwa riba ya asilimia 4 kwa wanachama ambapo mkopo unakima cha juu millioni 2.
Faida nyingine unaruhusiwa kujitoa ila utarudishiwa asilimia kadhaa sio hela yote.
#ushauri wa bure Watnzania mjenge utamaduni wa kusoma policy ya huduma husika.Pia zingatieni vigezo na masharti na waulizeni maswali ya msingi hao mawakala wanapokuja kuwajuza kuhusu huduma zao.Na ikiwezekana omba muda wa kutosha ukafanye research yako ukiridhika ndio ujiunge.Acheni utahira!!!
Mpaka sasa, umefikia maamuzi ganiMkuu shida niliyoiona ni kwamba kuna baadhi ya watu wamekamilisha muda wa makubaliano ya kukatwa kiasi fulani kwenye mishaha yao, wanalalamika kwamba hawapewi hizo fedha kwa mkupuo na ile faida hawapati na kuna usumbufu mkubwa wa kupata izo fedha, ndio maana nikaja kwenu kuuliza zaidi ikiwezekana nianze mchakato wakujiengua mapema sana
Mjumbe255Ngoja nimuulize mwamba mmoja anafanya kazi huko