jebs2002
JF-Expert Member
- Sep 3, 2008
- 11,860
- 12,071
Wanaoponda wanasema ukweli! Pale hakuna kitu mdau, please don't waste your money kwenye mashirika kama hayo yasiyo na tija!Kweli mimi kijana wa tamisemi😂😂😂
Wanaoponda wanasema ukweli! Pale hakuna kitu mdau, please don't waste your money kwenye mashirika kama hayo yasiyo na tija!Kweli mimi kijana wa tamisemi😂😂😂
Hata UTT mimi nilichelewa kujiunga kwasababu ya kusikiliza watu.Achana na wabongo wewe kama umeamua kufanya jambo fata utaratibu.Usiishi kwa maneno ya watu wa hovyo hasa wabongo.Mkuu shida niliyoiona ni kwamba kuna baadhi ya watu wamekamilisha muda wa makubaliano ya kukatwa kiasi fulani kwenye mishaha yao, wanalalamika kwamba hawapewi hizo fedha kwa mkupuo na ile faida hawapati na kuna usumbufu mkubwa wa kupata izo fedha, ndio maana nikaja kwenu kuuliza zaidi ikiwezekana nianze mchakato wakujiengua mapema sana
Una lipia gari bima eti ikitokea janga ulipwe wtf acha liibiwe mtu ata nunua lingineInsurance is a scam!! Ni wizi mtupu. Sio bongo tu, popote duniani insurance sio kabisa.
Insurance yoyote, huwa inamshawishi mteja kuwa ipo kwa manufaa ya mteja. Mteja anaingizwa kingi...Insurance is a scam!! Ni wizi mtupu. Sio bongo tu, popote duniani insurance sio kabisa.
Au unalipwa pesa kiduchu tena kwa mbinde na maswali kibao ili wasikulipe. Insurance ni wizi mtupu.Una lipia gari bima eti ikitokea janga ulipwe wtf acha liibiwe mtu ata nunua lingine