Je, umewahi kunufaika na shirika la bima la taifa, NIC?

Hata UTT mimi nilichelewa kujiunga kwasababu ya kusikiliza watu.Achana na wabongo wewe kama umeamua kufanya jambo fata utaratibu.Usiishi kwa maneno ya watu wa hovyo hasa wabongo.

Wabongo ni MUFILISI, mijitu yenye wivu na isiyopenda maendeleo.

Hilo ni shirika la serikali na lina muda sana.Shida ni vile hawajitangazi sana.

Kama umejiunga au ndo unampango wa kujiunga tafuta mwanasheria mlipe akusomee mkataba akutafsirie na kisha ukishaelewa ndio ufanye maamuzi.

Nenda ofisini kwao POSTA, uuulize maswali yako ikiwezekana uende na mwanasheria wako.Vitu vizuri vinagarama.
 
Hilo ni shirika la bima na incase mtu anashida kweli kuna mkataba upo ambao wao na wewe mmeingia.Hivyo kwa akili ya kawaida
kama mtu anamkataba na hajapewa haki yake anatakiwa afate hatua za kisheria.

Ukisoma mkataba wa NIC mfano mkataba wa BIMA YA MAISHA wameweka mpaka tarehe ambapo wewe utapewa kitita chako na pia ukiusoma mkataba umeainisha benefits ambazo mlengwa atapata iwapo atapata majanga kama ajali ambapo wao wameainisha watatoa asilimia ngapi, pia wameainisha kipengele cha warithi ambao ikitokea wewe umelamba vumbi watanufaikaje na pia mchango wa mazishi lakini pia wameainisha pia kama hutapata majanga na ukatimiza vigezo mpaka mwisho wa mkataba utapata kiasi gani.

Sasa mtu anapokuja mtandaoni na vague accusation katika karne hii ambapo watu wengi ni waelewa na wafatiliaji lazima tukupopoe mawe na mandonga.Gaddemitt!!!

KIJANA WA TAMISEMI NAMBA HIZO WAPIGIE,

0800110041
 
Insurance is a scam!! Ni wizi mtupu. Sio bongo tu, popote duniani insurance sio kabisa.
Insurance yoyote, huwa inamshawishi mteja kuwa ipo kwa manufaa ya mteja. Mteja anaingizwa kingi...
Ukweli ni kuwa shirika lolote la bima lipo pale kutengeneza faida kutoka kwa mteja (keusi, kekundu, keusi).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…