Je umewahi kunywa Juice ya karoti + machungwa cheki hapa

Je umewahi kunywa Juice ya karoti + machungwa cheki hapa

mimi naomba kufahamishwa walipo wafanyabiashara fulani wa mashine za nyumbani kama za kumenyea matunda,kukata mboga e.tc.
One time niliwasikia kipindi cha sabasaba wakijitangaza kuwa wana vifaa mbalimbali vya nyumbani ambavyo unaweza kukata na kumenya kwa shape unayotaka na pia kuna combination ya machine inayofanya kazi zote kwa pamoja.
Yaani kuanzia kumenya mpaka kutoa juice.
Tafadhali anayeweza kunielekeza ninapoweza kupata hizi machine rahisi za nyumbani anifahamishe.




kuna maonesho ya watu wa syria diamond jubilee kuanzia wiki ijayo wanazo wanaziuza hizo machine
 
Habarini marafiki

Ifuaatayo ndo menyu ya kuandaa Juice ya Karoti na Machungwa


Mahitaji:

- Machungwa 20 au zaidi kutegemeana na jinsi upendavyo.
- Karoti 10 -17 hivi inategemeana anavyopenda
- maji safi yaliyochemshwa pamoja na sukari
- tangawizi, au vitunguu saumu ukipenda

Matayarisho yake:

Andaa machungwa na uyasafishe kwa usafi maji moto,
yamenye kati bila kutoa maganda yake huku ukiangalia yasivuijie kwenye kisagio
kisha yasage kwenye kisago chake moja baada la lingine. Ondoa mbegu zake na
weka kwenye bakuli kubwa.

Chukua Karoti zako zimenye na kuziosha kisha zisage kwa kisagio au brenda yake
changanya changanya kwenye yale machungwa kisha weka maji kidogo halafu
chukua tangawizi kidogo sana iliyosagwa changanya humo
Mwisho chukua sukari ambayo ulichanganya na maji ii ilainike nyunyiza kwenye
hayo machungwa na karoti weka maji upendayo ya kutosha halafu angali kama
juisi ni nzito au nyepesi, baada ya hapo ongeza tena kipunje cha kitunguu saumu
kisha weka korogo koroga vichanganyikane
Mwisho weka kwenye friji na tayari kunywa kwa kitu chochote kile
iwe keki, chakula cha kawaida, au maandazi

CC: Paloma, charminglady, Passion Lady, sweetylady, amu, Smile, Mamndenyi, lara 1, AshaDii, Madame B, Kaunga, Heaven on earth, The secretary, everlnsalt, gfsonwin, Bujibuji, watu8, Mtambuzi, kaka Bishanga (acha juisi za azam kunywa flesh) na marafiki zangu
wote wa hapa karibuni mjitayarishie na muone ilivyo tamu na radha nzuri kwa yeyote anayetaka
kutayarishiwa asisite kuniita nijek kwake nitamuandalie atabrooo maandalizi yangu!!! weeeee si mchezo!!
Nina kijiwe changu cha chakula napenda niwatengenezee wateja wangu juice Kama hii naomba msaada
 
Nina kijiwe changu cha chakula napenda niwatengenezee wateja wangu juice Kama hii naomba msaada
msaada gani unaouhitaji ndugu yangu hebu nifafanulie maana nimeweka namna ya uandaaji na utayarishaji wa juice hjiyo sasa nifafanulie msaada gani unaohitaji
 
Kuna siku nilikunywa juice ya karoti tupu ambayo haijavhanganywa na chochote, nilipoenda msalani sasa weeee
 
special for ladies napita tu! sorry for interupting but I have gain something
 
Kuna siku nilikunywa juice ya karoti tupu ambayo haijavhanganywa na chochote, nilipoenda msalani sasa weeee
ahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa pole kabla hujaendelea nimekuelewa hahahahhaaaaaaaaaaaa ilikuwa kali sana ulijisikiaje huko chooni
 
Back
Top Bottom