Je, umewahi Kupanda Bombardier?

Bora pangaboi kuliko fastjet ni wapuuz mno yn hakuna refreshments zozotena ukinunua hata coffee kupata chenji ni kipengele balaa,kuna siku nmepanda naenda mbeya nmenunua coffee nikatoa shuka la masai yule mdada akajishaua na kijisketi chake mapaja nje nje tabasam pana eti kaka nmekosa chenji nilmwambia tafuta kokote ujuako ww ila ulete hapa,hadi tuna land hajanipa nilimmbana akaenda kuomba kwa jamaa wa shuttle alinuna ila changu alinipa....nmepanda bomberdier mambo ni poa sana hakuna upuuzi kama wa fastjet
 
Mie tayari aisee nilipanda miaka 7 iliyopita enzi hizo ilikuwa 99,000, nilipanda Bomberdier (CRJ - 100ER) ya kampuni ya FLY 540 kama inavyoonekana hapo chini
 
Kwa majibu hayo ngachoka kabsa! Mengi ya majibu yanaonesha ni majibu ya ambao hawajawahi kupanda ndege. Huwezi fananisha ndege na bajaj! Au eti oxygen ilikata ikiwa angani, si mngekufa? Au ati unafananisha na Kidia One au Ngorika. Hayo ni majibu ya kijiweni.
 
Ukoo wangu wote waliowahi kupanda ndege ni wawili, baba na dada yangu.

Siku nikizipata nitaenda hata Mbeya au Zanzibar.
 
Kwenye seat sawa ila ndege zipo pouwa kabisa
 
Oh yeah...

Halafu kuna mdada mmoja ni flight attendant humo kwa Bombadier ni mzuri kweli kweli!

Ninaposema ni mzuri namaanisha ni mzuri haswa!!!

Melanin magic baby!!

Huyo hata kwa mama naweza kumpeleka [kama na kichwani zimo lakini].

 
Siti utafikiri za hiace [emoji23]
 
πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…