Je, umewahi Kupanda Bombardier?

Je, umewahi Kupanda Bombardier?

Bora pangaboi kuliko fastjet ni wapuuz mno yn hakuna refreshments zozotena ukinunua hata coffee kupata chenji ni kipengele balaa,kuna siku nmepanda naenda mbeya nmenunua coffee nikatoa shuka la masai yule mdada akajishaua na kijisketi chake mapaja nje nje tabasam pana eti kaka nmekosa chenji nilmwambia tafuta kokote ujuako ww ila ulete hapa,hadi tuna land hajanipa nilimmbana akaenda kuomba kwa jamaa wa shuttle alinuna ila changu alinipa....nmepanda bomberdier mambo ni poa sana hakuna upuuzi kama wa fastjet
 
Mie tayari aisee nilipanda miaka 7 iliyopita enzi hizo ilikuwa 99,000, nilipanda Bomberdier (CRJ - 100ER) ya kampuni ya FLY 540 kama inavyoonekana hapo chini
CRJ - 100ER.jpg
 
Kwa majibu hayo ngachoka kabsa! Mengi ya majibu yanaonesha ni majibu ya ambao hawajawahi kupanda ndege. Huwezi fananisha ndege na bajaj! Au eti oxygen ilikata ikiwa angani, si mngekufa? Au ati unafananisha na Kidia One au Ngorika. Hayo ni majibu ya kijiweni.
 
Ukoo wangu wote waliowahi kupanda ndege ni wawili, baba na dada yangu.

Siku nikizipata nitaenda hata Mbeya au Zanzibar.
 
Yahh iko stable sana .,felt very comfortable mda wa take off and landing na misukosuko huko juu hamna shida .ss sijui ni pilot wa siku hio na weather nzuri
ila zile pangaboi kelele zake sasa loh
ila kilichokera ni siti zile aisee jmn hata shabiby seats za basi zimewazidi.,hamna entertainment kbs...perhaps cz internal flights ndani ya nchi ni fasta mshafika
Na kuchelewa mda wa flight ss tulikalishwa KIA lisaa bado ipite Znz
Ushauri waongeze luxury features zaidi kwny seats
Kwenye seat sawa ila ndege zipo pouwa kabisa
 
Oh yeah...

Halafu kuna mdada mmoja ni flight attendant humo kwa Bombadier ni mzuri kweli kweli!

Ninaposema ni mzuri namaanisha ni mzuri haswa!!!

Melanin magic baby!!

Huyo hata kwa mama naweza kumpeleka [kama na kichwani zimo lakini].

7306719A-6805-43C5-BFEB-05B387C686DC.jpeg
 
Yahh iko stable sana .,felt very comfortable mda wa take off and landing na misukosuko huko juu hamna shida .ss sijui ni pilot wa siku hio na weather nzuri
ila zile pangaboi kelele zake sasa loh
ila kilichokera ni siti zile aisee jmn hata shabiby seats za basi zimewazidi.,hamna entertainment kbs...perhaps cz internal flights ndani ya nchi ni fasta mshafika
Na kuchelewa mda wa flight ss tulikalishwa KIA lisaa bado ipite Znz
Ushauri waongeze luxury features zaidi kwny seats
Siti utafikiri za hiace [emoji23]
 
Back
Top Bottom