OLS
JF-Expert Member
- Oct 12, 2019
- 426
- 685
Ndugu watafiti, recently yamewasilishwa mapendekezo mapya ya sheria ya COSTECH ambayo yanweza kuongeza ugumu wa kupata kibali cha kufanya tafiti. Mapendekezo yanawapa COSTECH uwezo wa kuja na kuvikamata vifaa vyako, kuwauliza staff kuhusu utafiti unaoendelea pia kuchukua documents zenu.
Kabla ya kujua haya mapendekezo mapya na athari zake, ningependa kujua kwa yeyote aliyewahi kuomba kibali COSTECH kushare experience yake.
Karibuni wadau. Pia msome amendments muone mwiba mwingine unaokuja.