Je,umewahi kupigwa mtoso au kibuti?

mimi ela

Senior Member
Joined
Nov 9, 2017
Posts
162
Reaction score
92
Kama kichwa kinavyojieleza
Ni kawaida kutokea katika mawindo yetu Yale..
Mi nilipigwa booonge la kibuti afu mtoto alikua maji ya kilimanjaro mixer u-beyonce mwingi...gucci d&g , izo ni ka kumiliki goloka...
Na nyie tiririkeni....
 
Kwa swaga zako hizo subir vibut vngne vikal zaid ya hicho, unless kama haulet huo usela/uhuni wako wakat wa kutongoza, mana asilimia kubwa ya waschana hawapend hizo swaga.
Hebu pretend kua gentleman uone utavowapata hadi watakao kupa bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…