Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa swaga zako hizo subir vibut vngne vikal zaid ya hicho, unless kama haulet huo usela/uhuni wako wakat wa kutongoza, mana asilimia kubwa ya waschana hawapend hizo swaga.Kama kichwa kinavyojieleza
Ni kawaida kutokea katika mawindo yetu Yale..
Mi nilipigwa booonge la kibuti afu mtoto alikua maji ya kilimanjaro mixer u-beyonce mwingi...gucci d&g , izo ni ka kumiliki goloka...
Na nyie tiririkeni....