DASA
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 1,031
- 302
Mmmhh hilo jina linatisha
Dena Saita!, kweli jina lake linatia wasiwasi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmhh hilo jina linatisha
nimeshawahi kusamehe niliibiwa kiasi kikubwa cha pesa na mtu ninayemfahamu then nikamsamehe baada ya kuja kuomba msamaha
Siri yangu, coz kikubwa kwangu mwingine ni kidogo na vice versakiasi kikubwa.how much?????/
Siri yangu, coz kikubwa kwangu mwingine ni kidogo na vice versa
TB unataka nichekwe hapa... taku pmkuna ndugu mimi aliniibia nikavunja na undugu
na sio hela nyingi sana,niltaka nijue kiasi chako nilinganishe,nione labda mimi mkatili lol
kuna ndugu mimi aliniibia nikavunja na undugu
na sio hela nyingi sana,niltaka nijue kiasi chako nilinganishe,nione labda mimi mkatili lol
wewe ni mkatili. Kuna ndugu yangu aliwahi kunifilisi biashara yangu ila sijavunja undugu ingawa kila nikikumbuka roho inaniuma.