Naomba nisisitize jambo moja kwamba nyaraka hizi kama deed poll, affidavit nk, huandaliwa/ kutengenezwa na wanasheria ambae ni wakili anaetambulika na Mahakama Kuu, Sio kila Mwanasheria ni Wakili ila kila Wakili ni Mwanasheria. 🙏 🙏mwanasheria
Karibu kwa maswali.Asante kwa elimu ...
Ubarikiwe sana mkuuShukran kwa elimu.
Vipi kama unataka kubadilisha mwaka wa kuzaliwa, unatumia njia gani kisheria?Hii ni nyaraka (document) maalumu inayotumika kubadili au kurekebisha majina katika nyaraka mbalimbali. Nyaraka hii ni kiapo cha kubadili jina, ambapo mwombaji katika nyaraka hii husema wazi majina ambayo alikuwa akiyatumia awali pamoja na majina mapya anayoyataka. Nyaraka hii hutengenezwa na mwanasheria na baadae husajiliwa kwa msajili wa nyaraka...
Karibuni kwa maswali.
Shukrani sana kwa hii elimu ila natamani kujua yafuatayo:Hii ni nyaraka (document) maalumu inayotumika kubadili au kurekebisha majina katika nyaraka mbalimbali. Nyaraka hii ni kiapo cha kubadili jina, ambapo mwombaji katika nyaraka hii husema wazi majina ambayo alikuwa akiyatumia awali pamoja na majina mapya anayoyataka. Nyaraka hii hutengenezwa na mwanasheria na baadae husajiliwa kwa msajili wa nyaraka...
Karibuni kwa maswali.
Njoo nikuandalie Deed Poll. Pia andaa Tshs 32000/= kwa ajili ya kusajili hilo jina. Nowadays inachukua siku 3 au 4 kusajiliwa.Shukrani sana kwa hii elimu ila natamani kujua yafuatayo
a) Utaratibu upi natakiwa kufuata kama katika academic certificates zangu nilitumia majina 2 lakini kwa sasa niko kazini nataka kutumia majina 3 kama ilivyo kwenye national I'd?...