Shuleni ni mahali ambapo wanafunzi hutumia muda mwingi wa siku yao kuliko sehemu nyingine. Chakula ni miongoni mwa nguzo za msingi katika kuleta ustawi na utulivu wa kimasomo wa mtoto wako.
Muongozi wa wa Taifa wa utoaji Huduma ya Chakula na Lishe kwa Wanafunzi wa Elimumsingi unaeleza kuwa Wazazi na Wadau wa elimu wana jukumu la kuhakikisha wanawapa chakula Wanafunzi wote shuleni.
Je, wewe mzazi au mlezi umewahi kuchangia pesa ya chakula kwa ajili ya mwano shuleni?