Je umewahi kuuona mwandiko ya Jakaya Kiwete?, kama bado basi pitia hapa uuone

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Sio kila mtu amewahi kuuona mwandiko wa rais wake, ila kwa sisi wachache ambao kwa wakati fulani tumepata kuwasiliana na rais mstaafu Kikwete kwa njia ya maandishi basi tunaufahamu fika mwadiko wa JK.
Hapa chini ni mwandiko wa JK alipomwandikia rais wa Uganda ndugu Yoweri Museveni.

Muda sio mrefu nitawaletea mwandiko wa Mama Samia, Mbowe na Lipumba
 
Haya mkuu!
 
unaweza kutupatia mwandiko wa JPM
 
Hii miandiko iko upande wa ung'eng'e tu, hawawezi kuandika kizalamu....
 
Haiwezekani hiki kiingereza kikawa cha Kikwete!😳 😳😳

A pleasure to visit with you?
Experience in many field?
Including agriculture which brought me here today?
We thank you for the time you took to see me?
 


Na huyu nae?

This was sad and pity story?
I wish it was a story? (you just said it was) just to find it was a reality?
God bless them all to allow them to meet?

Jamani huko ikulu hakuna kazi za kutoa tuition ya kiingereza niombe?
 
enzi zao huu ni mwandiko wa kutongozea demu akakukubalia kabisa. La ila kikwete itakuwa keshawala wengi sana.
 


Hata bila kuandika former angefahamika tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…