mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
Haya mambo yapo Bongo na nchi za kusadikika tu.Wakuu habari za leo: Naenda kwenye maada kamili hivi kuna umri ukifikia hata kama hauna kiwanja ndo basi tena? au kila mtu na bahati yake tu kulingana na umri uliofikia?. Na je, kuna ukweli wowote ule kuhusu kuandikiwa wewe hautapata vitu vikubwa maishani mwako?. Nawasilisha.
Yule founder wa KFC ametobowa uzeeni.Hakuna billionaire hapa bongo mwenye umri chini ya miaka 40 katika ile Top 10 ..Mafanikio yanachukua muda ila haijalishi utayapata ukiwa na umri gani.
Kidunia pale kweny List labda Marck Zuckerberg ndio mdogo ,wapo wenye miaka mpaka 80's still wanapiga kazi.
Vijana wengi mnapagawa na hawa wapiga kelele ,bado watoto hao ndio maana hata Top ten pale bado ,
Jipe moyo tu maisha yenyewe ndiyo haya haya! Hata kama umekutupa mkono bado wewe ni wa thamani!Nkisikia habari yoyote hukusu umri, moyo unaenda mbio.....
Yeap, kikubwa mpaka unakufa ndio watu watajua ulikuwa tajiri au maskini.Yule founder wa KFC ametobowa uzeeni.
Hivi saivi una miaka mingapi vilee??ππππππ
Nishavuka 18...Hivi saivi una miaka mingapi vilee??ππππππ
Hivi saivi una miaka mingapi vilee??π€ππππππ
Nishavuka 18...Hivi saivi una miaka mingapi vilee??π€ππππππ
Nishavuka 18...
Hahahaha..Sawa loNishavuka 18...