mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
hapa umezungumzia mafanikio ya kiuchumi
sidhani kama kuwa na kiwanja ni mafanikio, kuwa na hela ya kununua kiwanja muda wowote ndo mafanikio
ukizeeka unaweza kufanikiwa ila ngumu kwasababu muda unao kidogo
hiyo ya kuandikiwa inategemea na imani, ila naona hata wanaoamini ni wanafki kwasababu wakipitia changamoto wanasema 'pambana na umtangulize mungu utatoboa' wakishindwa kutoboa utasikia 'kila mtu na riziki yake' au 'mungu anakupa unachostahili'