Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 78,914 Reaction score 168,320 Oct 1, 2012 #1 Tusaidiane kugundua vipaji. Kuna wengi wana vipaji na hawajui namna ya kutambua vipaji vyao. KIPAJI NI PESA
Tusaidiane kugundua vipaji. Kuna wengi wana vipaji na hawajui namna ya kutambua vipaji vyao. KIPAJI NI PESA
Kiranja Mkuu JF-Expert Member Joined Feb 18, 2010 Posts 4,534 Reaction score 5,342 Oct 1, 2012 #2 nina kipaji cha kuwakamua wale wote wanaotembea na wake wa watu
String Theorist JF-Expert Member Joined Aug 14, 2011 Posts 203 Reaction score 179 Oct 1, 2012 #3 Jamani ee. "Talent" and "unique Ability" are two things different japokua vyote vinategemeana. Narudi baadae kuelezea zaidi.
Jamani ee. "Talent" and "unique Ability" are two things different japokua vyote vinategemeana. Narudi baadae kuelezea zaidi.
Nazjaz JF-Expert Member Joined Jan 20, 2011 Posts 7,850 Reaction score 9,422 Oct 1, 2012 #4 hivi kula ni kipaji, karama au wito
Asulo JF-Expert Member Joined Jun 25, 2012 Posts 719 Reaction score 252 Oct 1, 2012 #5 Mi naogopa kusema hapa maana ntaonekana muongo.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,270 Reaction score 111,361 Oct 2, 2012 #6 Nazjaz said: hivi kula ni kipaji, karama au wito Click to expand... Tabia..
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,270 Reaction score 111,361 Oct 2, 2012 #7 Asulo said: Mi naogopa kusema hapa maana ntaonekana muongo. Click to expand... basi wewe Uoga ndio kipaji chako...
Asulo said: Mi naogopa kusema hapa maana ntaonekana muongo. Click to expand... basi wewe Uoga ndio kipaji chako...
TANMO Platinum Member Joined Apr 12, 2008 Posts 12,199 Reaction score 13,029 Oct 2, 2012 #8 Uongo... I am proud to say nimebarikiwa kuwa na hiki kipaji kwa kweli... Yaani kila ninalosema huwa ni uongo halafu watu wanaaminigi... Nilikigundua pale nilipomwambia mtu kuwa mimi ni muongo sana kisha akaniamini...
Uongo... I am proud to say nimebarikiwa kuwa na hiki kipaji kwa kweli... Yaani kila ninalosema huwa ni uongo halafu watu wanaaminigi... Nilikigundua pale nilipomwambia mtu kuwa mimi ni muongo sana kisha akaniamini...