Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bao moja m100Kivpi mkuu
Linakula na kulala kwa shemejiHalina kazi hili toto...
Dah! Kama watacheza usiku sana, wanaweza kuangushiwa mvua ya magoli. Hivyo wapaki tu basi. Maana hakuna namna nyingine.Watacheza ucku sana
Kwamba wataanza sinziaDah! Kama watacheza usiku sana, wanaweza kuangushiwa mvua ya magoli. Hivyo wapaki tu basi. Maana hakuna namna nyingine.
Historia haiwabebi kabisa kumfunga Mwarabu kwao. Wangekuwa kaka zao Yanga, ningewadhamini! Ila siyo wao.
Kwa hiyo una t.mba wote na Dada ako?Shemeji anaishi kwangu
hahaaaaPicha haifunguki mkuu
AaahaaaHabari wakulungwa
Japo mechi ya kesho tunajua kuwa Simba itakandwa heavyweight na Al ahly lakini hapa ni mahususi Kwa ajili ya kuishauri technical bench Nini kifanyike Ili kupunguza idadi ya magoli ambayo Simba itafungwa.....najua hata nyie Makolo mnajua kuwa hamtoboi
Ushauri wangu
Simba kesho waende kupaki basi mwanzo mwisho, ....kama nilivyosema kuwa Simba lazima wakandwe kesho ...so Ili kuepuka kukandwa magoli mengi wanatakiwa kupaki basi ...ili litoshe tu Hilo goli Moja ...bila ya hivyo naona Simba atakula goli zaidi ya 5G
Najua management ya Simba inapitia humu jf na haitadharau ushauri huu
Keshaliwa huyoWenye pesa na mioyo yao View attachment 2953888
Ndilo Kubwa Watapambana Sana Kuleta Matokeo MazuriNothing to loose
weka mshahara wako kwa yanga upige kibunda mwanayanga.Picha haifunguki mkuu
Ngoja tuone kama itakuwa hivyoSimba itafanya vizuri tu: Kuna ya aina mbili kwenye mchezo huo.
(1) Simba atapata bao kwenye dakika ya 67 na kusababisha mchezo uamuliwe kwa matuta. Simba atapoteza penalty mbili (moja ikiwa ni uzembe wa mpigaji mwenyewe kwa vile itagonga mwamba), na Al-Ahly atapoteza Penalty moja, na hivyo Simba kutolewa nje ya mashindano hayo kwa kufa kiume.
(2) Simba itaigomea Al-Ahly kupata bao na mchezo kuisha kwa droo ya 0-0, na hivyo simba kutolewa nje ya mashindano ikiwa imekufa kiume kwa kuwahemesha Al-Alhy hadi kumaliza na droo hiyo.
Kubeti ni haramuweka mshahara wako kwa yanga upige kibunda mwanayanga.View attachment 2953985