Je, una lipi la kuishauri Simba kupunguza idadi ya goli kesho?

Je, una lipi la kuishauri Simba kupunguza idadi ya goli kesho?

Habari wakulungwa

Japo mechi ya kesho tunajua kuwa Simba itakandwa heavyweight na Al ahly lakini hapa ni mahususi Kwa ajili ya kuishauri technical bench Nini kifanyike Ili kupunguza idadi ya magoli ambayo Simba itafungwa.....najua hata nyie Makolo mnajua kuwa hamtoboi

Ushauri wangu
Simba kesho waende kupaki basi mwanzo mwisho, ....kama nilivyosema kuwa Simba lazima wakandwe kesho ...so Ili kuepuka kukandwa magoli mengi wanatakiwa kupaki basi ...ili litoshe tu Hilo goli Moja ...bila ya hivyo naona Simba atakula goli zaidi ya 5G

Najua management ya Simba inapitia humu jf na haitadharau ushauri huu

Wapigwe tu kama ngoma.
 
Back
Top Bottom