Kuwa serious jamaa! Huna elfu 70! Na una smartphone!Nenda mjini kwenye maduka ya jumla,nunua yeboyebo fasion za kisasa, Yebo 1 kwa bei ya jumla utainunua kwa sh elf 2, wewe mtaani kwako utaiuza elf 2500,-ukiuza pea 10 maana yake una faida ya elf 5,mimi nilijaribu wakati nikiwa chuo mwaka jana,ila nikaishiwa mtaji baada ya kulipa ada,saiv elf 70 imenipiga chenga,kila ninaye muomba,anakujibu,hali ni ngumu,dah!!Jaribu ndg yangu
Kisa mtu yupo chuo umeshasema msomi?? Unajua yupo level gani? Hivi unadhani hata matajiri walianzia biashara za mabilioni?? Acha mawazo mfu ndugu yangu.Wasomi wa sikuhizi mnatukatisha tamaa yani pamoja na elimu yako hiyo ndio bussiness idea yako?
Kumbe mtu ukishafika chuo hauruhusiwi kufanya biashara ndogo ndogo! Unatakiwa ufanye mabiashara makubwa makubwa ya kukaa kwenye kiyoyoziWasomi wa sikuhizi mnatukatisha tamaa yani pamoja na elimu yako hiyo ndio bussiness idea yako?
Si ndo hapo, yani kuna watu wamekariri njia ya kufanikiwa kwenye maisha. Formula za kufanikiwa zipo nyingi inategemea na muhusika kachagua ipiAu anataka tuendelee kutembeza Bahasha maofisn
Ndo hivyo km nyumbani kyna hali mbaya kiuchumi unadhani MTU anaweza kuwa Na business idea ya 10M ndg ? Km mtu alizaliwa familia tajiri siyo wote yan.Wasomi wa sikuhizi mnatukatisha tamaa yani pamoja na elimu yako hiyo ndio bussiness idea yako?
Nme ku pm mkuuNenda mjini kwenye maduka ya jumla, nunua yeboyebo fasion za kisasa, yebo 1 kwa bei ya jumla utainunua kwa sh elf 2, wewe mtaani kwako utaiuza elf 2500,-ukiuza pea 10 maana yake una faida ya elf 5, mimi nilijaribu wakati nikiwa chuo mwaka jana ila nikaishiwa mtaji baada ya kulipa ada, saivi elfU 70 imenipiga chenga, kila ninaye muomba, anakujibu, hali ni ngumu.
Jaribu ndugu yangu