PAZIA 3
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 1,102
- 1,919
Nenda mjini kwenye maduka ya jumla, nunua yeboyebo fasion za kisasa, yebo 1 kwa bei ya jumla utainunua kwa sh elf 2, wewe mtaani kwako utaiuza elf 2500,-ukiuza pea 10 maana yake una faida ya elf 5, mimi nilijaribu wakati nikiwa chuo mwaka jana ila nikaishiwa mtaji baada ya kulipa ada, saivi elfU 70 imenipiga chenga, kila ninaye muomba, anakujibu, hali ni ngumu.
Jaribu ndugu yangu
Jaribu ndugu yangu