Transistor
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 1,061
- 1,637
*Natengeneza na Ku-repare mashine au mitambo mbalimbali iliyokufa saketi zake za kielectronics na hivyo kushindwa kufanya kazi.
*Nahusika na mifumo ya kielectrical na Electronics tu,sihusiki na mchenical parts.
*Pia kama unahitaji kuundiwa au kuunda mfumo wa kielectronics kwa Jili ya kuendesha mtambo au mashine yoyote karibu kwa Consulatation au Huduma.
Transistor
+255782971984