tramadol
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 5,383
- 4,323
Unaweza kuwa na mtoto au hata ndugu mwenye kuzaliwa na moyo upande wa kulia bila kujua kama ilikuwa hakupata shida yoyote toka kuzaliwa.
Tatizo lao kubwa wenye moyo kulia ni kupata maambukizi ya wadudu mara kwa mara kifuani...pneumonia, sinusitis na hata kukosa oxygen kama baadhi ya mishipa ya damu iko tofauti toka kuzaliwa.
Hilo ni tatizo la kimaumbile la kuzaliwa nalo moyo badala kukaa kushoto wenyewe unakaa kulia.
Tanzania Nakumbuka mwaka 1998 Kuna mama alijulika ana moyo kulia baada ya kuanza kupata pneumonia mara kwa mara bila sababu nilimshauri tu ufanye chest xray ndiyo wakagundua hilo.
Muhimbili Nakumbuka walimpa offer ya kutibiwa bure mpaka kufanya ila wakimhitaji kwa ajili kufindishia madokta basi ajitolee pale watakapo muhitaji kwa vipindi vyao.
Kuna baadhi ya vitu watu wanasoma theory havioni kwa macho hata wakienda makizini hawakutani navyo.