Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
- Thread starter
- #21
pdiddy mie nilishachoka. Niliomba weee, mifungo yoootee, maombi kila aina lakini ndio kwanzaaaa! Kila miaka inavyokwenda mbele, anazidi kuwa na hizo tabia ulizozitaja hapo juu. Sijui nifanyeje maana kuja kwenye hayo maombi nimeshachoka hakuna lililofanyika hayo aina hiyo nilishafanya tena kwa moyo wote na mtu iko vile vileeee! :embarrassed:
digna usikate tamaa muda sahihi aujatimia ukifika utakuwa shahidi wa kulala kanisani kumshukuru mungu