Je, una mzio (allergy) au uoga (phobia) na kitu gani?

Hahaah, kwa nini kenge mkuu? Ashawah kukufanyia kitu mbaya.. nn...!?
 
Namshukuru Mungu sijawahi kua na allerg na kitu, nakula kila kitu kasoro sumu.

Zaidi huwa nasisimka mwili na na vinyweleo kusimama nikiona vitundu ....tryphobia

Kuna karaha fulani kanakuja hivi mwili ukisisimka[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Em tuone wangapi mnayo tryphobia [emoji12]
 
 
Mimi Nina height phobia ya kuwa juu ya kitu iwe jengo ama ngazi..
Juzi nimepanda daraja la kuvuka buguruni muda was kidogo niombe mtu anishike mkono
 
Hapana mkuu ni ile sura yake tu
Ila nimewahi kula nyama yake
Nyama inatetemeka masaa hata uipike namna gani
Duuhh, nyama yake tena!? Ulikulaje sasa wakat una phobia nae? Au ile nyama yake ya kutetemeka ndo imekuletea phobia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…