Je, una mzio (allergy) au uoga (phobia) na kitu gani?

Je, una mzio (allergy) au uoga (phobia) na kitu gani?

Kwa kweli kitu kinachonisumbua ni pumzi sina asthma
Ila kila sehemu nikiingia kama madirisha hayako wazi panic inaanza
Basi lililojaa watu nashuka
Chumba lazima dirisha liwe wazi kwa weather zote

Kingine ni kenge huyu mnyama bora niamke nyoka yuko chumbani kuliko Kenge
Hahaah, kwa nini kenge mkuu? Ashawah kukufanyia kitu mbaya.. nn...!?
 
Namshukuru Mungu sijawahi kua na allerg na kitu, nakula kila kitu kasoro sumu.

Zaidi huwa nasisimka mwili na na vinyweleo kusimama nikiona vitundu ....tryphobia

Kuna karaha fulani kanakuja hivi mwili ukisisimka[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Em tuone wangapi mnayo tryphobia [emoji12]
IMG_20210325_122252.jpg
Screenshot_2021-03-25-12-23-26.jpg
 
Astra phobia. I have extreme fear to thunderstorms and lightening. Nilipokuwa shule ya msingi early 2000's radi ilimuua mwalimu akiandika ubaoni. Na siku nyingine pia mti mbichi upenuni mwa nyumbani ulipigwa radi ukakauka hapo hapo kesho yake tukaufanya kuni. Matukio hayo yamenifanya niwe mwoga mno wa radi.
 
Mimi Nina height phobia ya kuwa juu ya kitu iwe jengo ama ngazi..
Juzi nimepanda daraja la kuvuka buguruni muda was kidogo niombe mtu anishike mkono
 
Hapana mkuu ni ile sura yake tu
Ila nimewahi kula nyama yake
Nyama inatetemeka masaa hata uipike namna gani
Duuhh, nyama yake tena!? Ulikulaje sasa wakat una phobia nae? Au ile nyama yake ya kutetemeka ndo imekuletea phobia?
 
Back
Top Bottom