Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
-
- #41
Ni hatari ๐คฃ๐๐๐Kuna jamaa alipigwa ngumi nyingi sana za kichwa hadi kichwa chote kikazama kwenye mchanga๐๐๐
Hapana, hebu nibrief.Kaka una Elewa style aliyo introduce Donnie yen???,
Halafu Tony sio founder wa muay Thai bhana, yeye ni mwanafunzi tu.Hapana, hebu nibrief.
Kwa hiyo bila kusisitizwa asingesoma?Halafu Tony sio founder wa muay Thai bhana, yeye ni mwanafunzi tu.
๐Kasoma katika chuo Cha maha sakram physical education kule khon kaen.
๐Baada ya kusisitizwa na mwalimu wake
Bro Elewa kilicho andikwa kwanza.Kwa hiyo bila kusisitizwa asingesoma?
Movie za0 ni za mkono fulani wa kimi yeyusho, ana movie nyingi Kali mnoo.Stephen chow sijui kwanini alibase kwenye commedy sana, wakati kwenye mkono yupo vizuri saana.
Hakuwa series kama kina donnie yen, jet lee alileta masihara makubwa mnooMovie za0 ni za mkono fulani wa kimi yeyusho, ana movie nyingi Kali mnoo.
Kaka ndo zili moa hela mnoo, Kutokana na kwamba ali ona Zina pendwaHakuwa series kama kina donnie yen, jet lee alileta masihara makubwa mnoo
Huwa nahisi huenda tu nae ni commedy kwenye maisha ya kawaida ndio maana, ila kwenye martial arts yuko vizuri saana, ni mtaalamu wa wing chun kama sikosei.Kaka ndo zili moa hela mnoo, Kutokana na kwamba ali ona Zina pendwa
Yeah, Ila nime mkubali kwenye action comedy.Huwa nahisi huenda tu nae ni commedy kwenye maisha ya kawaida ndio maana, ila kwenye martial arts yuko vizuri saana, ni mtaalamu wa wing chun kama sikosei.
Nishazitizama zote hizoYeah, Ila nime mkubali kwenye action comedy.
๐Zicheki fist of furry,
- God of gamblers part 123
- kungfu hustle