Je, una wakumbuka ma legend hawa?

Je, una wakumbuka ma legend hawa?

Huwa nahisi huenda tu nae ni commedy kwenye maisha ya kawaida ndio maana, ila kwenye martial arts yuko vizuri saana, ni mtaalamu wa wing chun kama sikosei.
Yeah, Ila nime mkubali kwenye action comedy.
👉Zicheki fist of furry,
  • God of gamblers part 123
  • kungfu hustle
 
Back
Top Bottom