Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Siwajui kina hong bakiWe nusu albino Half american una wajua Hawa??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siwajui kina hong bakiWe nusu albino Half american una wajua Hawa??
We kweli nusu albino🤣Siwajui kina hong baki
Kina jet li na don enWe kweli nusu albino🤣
Jet li Yuko wapi hapo 😃🤔Kina jet li na don en
MuongezeJet li Yuko wapi hapo 😃🤔
Haya bhanaMuongeze
Yeah, hata yule mzee ali kichafuaMwanamama na wale vipofu waliipendezesha sinema..
Tony Jar bado yuko kwenye form, kuna jamaa yake mwingine anaitwa marc Dagascus, Akina Don Yen hawafiki level hizo.Charles kilian una wakumbuka ??
Mbona don nae bado yupo Kwenye game??, Au una maanisha level zipi??Tony Jar bado yuko kwenye form, kuna jamaa yake mwingine anaitwa marc Dagascus, Akina Don Yen hawafiki level hizo.
Uwezo.Mbona don nae bado yupo Kwenye game??, Au una maanisha level zipi??
Donnie yen ni master kabisa yule, hata hai kina ton na mark Wana mzungumzia Sana.Uwezo.
Yen ni one time world champion wa Wushu. Lakini Tony Jaa ni founder, ni kama vile Bruce.Donnie yen ni master kabisa yule, hata hai kina ton na mark Wana mzungumzia Sana.
Donnie yen ni master kabisa yule, hata hai kina ton na mark Wana mzungumzia Sana.
Kama vile Bruce Lee ambavyo ni founder ws Jet can do, Tony Jaa ni founder wa Muay Thai(tamka MU TAI)Yen ni one time world champion wa Wushu. Lakini Tony Jaa ni founder, ni kama vile Bruce.
Kaka una Elewa style aliyo introduce Donnie yen???,Kama vile Bruce Lee ambavyo ni founder ws Jet can do, Tony Jaa ni founder wa Muay Thai(tamka MU TAI)
Unanielewa ninavyosema Founder?
Kuna jamaa alipigwa ngumi nyingi sana za kichwa hadi kichwa chote kikazama kwenye mchanga😀😀😀Hawa majamaa wali tisha enzi hizo, uigizaji safi.
👉 Back to the days kisanga kilivyo vumbuliwa.
View attachment 2850051View attachment 2850053View attachment 2850054View attachment 2850072View attachment 2850074View attachment 2850077View attachment 2850079View attachment 2850081View attachment 2850091View attachment 2850093View attachment 2850101View attachment 2850103View attachment 2850104View attachment 2850106View attachment 2850107