MIKIDADI KAPAYA
Member
- Dec 14, 2012
- 10
- 3
Hamna kitu hapo kwani nimemwambia nina wazo eti liandike nikilipenda tutalifanyia kazi/JAMAA MASKINI WA IDEAS ANATAKA KUIBA ZETU NDIO AFANYE LAKE/JAMANI ZITUNZENI IDEAS ZENU KWANI MI HUU MWAKA WA 8 TANGIA NIKIWA FORM 4-NOW I AM 25 YEARS I CAN'T SELL IT BUT I HAVE FAITH THAT ONE DAY ITAKUWA YES!SO PROTECT YOURS!!
Protect your ideas into the world which ideas means money, ideas are most valeuable things handle with care!!
Habari zenu wakuu. Natumai mnaendelea vyema na harakati za kusukuma gurudumu la maisha. Wakuu kuna watu humu wana pesa hawana idea nzuri za biashara,na kuna wengine wana idea nzuri lakini hawana mtaji. Mimi ninaandika uzi huu kuwalenga wale wenye idea za biashara lakini kinachowakwamisha ni mtaji. Kama wewe unaamini una wazo zuri la biashara na huna mtaji,basi mimi nataka kushirikiana na wewe,mimi nitatoa mtaji wa kuanzia milioni 2-15 au hata zaidi kama nitashawishika na wazo lako. Ninachotaka ni hivi,nataka faida itakayopatikana kwa biashara itokanayo na wazo lako itufaidishe mimi na wewe. KUMBUKA:Sikopeshi pesa bali nataka tushirikiane ili sote tupate faida. HUNIJUI SIKUJUI na siwezi kukuamini tu kwa maneno.Ili nikuamini inabidi utafute mbinu za UHAKIKA za kunifanya nikuamini. Vile vile inabidi unishawishi vizuri ili niweze kuliamini wazo lako la biashara kabla sijawekeza pesa zangu. Are you interested? Please PM me. Thank you and God bless you all.
Habari zenu wakuu.
Natumai mnaendelea vyema na harakati za kusukuma gurudumu la maisha.
Wakuu kuna watu humu wana pesa hawana idea nzuri za biashara,na kuna wengine wana idea nzuri lakini hawana mtaji.
Mimi ninaandika uzi huu kuwalenga wale wenye idea za biashara lakini kinachowakwamisha ni mtaji.
Kama wewe unaamini una wazo zuri la biashara na huna mtaji,basi mimi nataka kushirikiana na wewe,mimi nitatoa mtaji wa kuanzia milioni 2-15 au hata zaidi kama nitashawishika na wazo lako.
Ninachotaka ni hivi,nataka faida itakayopatikana kwa biashara itokanayo na wazo lako itufaidishe mimi na wewe.
KUMBUKA:Sikopeshi pesa bali nataka tushirikiane ili sote tupate faida.
HUNIJUI SIKUJUI na siwezi kukuamini tu kwa maneno.Ili nikuamini inabidi utafute mbinu za UHAKIKA za kunifanya nikuamini.
Vile vile inabidi unishawishi vizuri ili niweze kuliamini wazo lako la biashara kabla sijawekeza pesa zangu.
Are you interested?
Please PM me.
Thank you and God bless you all.
Kwenye intellectual property you can not protect ideas, haya mambo yanahitaji sana uelewa la sivyo mtu utajikuta unatajirisha watu wengine.Wazo langu litalindwa vipi? Hii siyo mbinu ya kuiba mawazo ya watu then uka implement kivyako bila kumuhusisha mwenye wazo?
Ni njia gani zinaweza kutumika kulinda wazo la mtu?