Je una wazo zuri la biashara lakini huna mtaji? Ongea na mimi

Je una wazo zuri la biashara lakini huna mtaji? Ongea na mimi

Hamna kitu hapo kwani nimemwambia nina wazo eti liandike nikilipenda tutalifanyia kazi/JAMAA MASKINI WA IDEAS ANATAKA KUIBA ZETU NDIO AFANYE LAKE/JAMANI ZITUNZENI IDEAS ZENU KWANI MI HUU MWAKA WA 8 TANGIA NIKIWA FORM 4-NOW I AM 25 YEARS I CAN'T SELL IT BUT I HAVE FAITH THAT ONE DAY ITAKUWA YES!SO PROTECT YOURS!!
 
Sasa mkuu haikua lazima my dear.
Mbona kuna walioamua kurisk idea zao wakanielezea PM na zilizonivutia tuongea kwenye simu na soon kuna ninaokutana nao.

Hata hivyo namshukuru Mungu kwakukufanya unione tapeli sababu kwa tabia hii yakutoa mambo ya pm na kuyalete huku tungekua patners si ungeniletea matatizo tu.

Nakutakia kila la heri na hiyo golden idea yako.
 
Kiasi gani minimum na maximum unaweza kuingiza kwenye mradi na conditions zitakuwa nini. Labda hii itawasha mwanga kidogo katika scope ya project support.
 
Protect your ideas into the world which ideas means money, ideas are most valeuable things handle with care!!

Sikuungi mkono... Utalificha mpaka lini? kama utaficha wazo ukifa na wazo lako limekufa itakuwa umemnufaisha nani? ukili implememnt watu wataliona na wata copy bado utakuwa na competition ileile!
 
[asante sana kiongozi. sasa naomba email yako ili niku2mie proposal yangu imail yangu ni thomnel@hotmail.com
 
Queenkami PM tuongee mchakato wa kusaka tonge
 
Habari zenu wakuu. Natumai mnaendelea vyema na harakati za kusukuma gurudumu la maisha. Wakuu kuna watu humu wana pesa hawana idea nzuri za biashara,na kuna wengine wana idea nzuri lakini hawana mtaji. Mimi ninaandika uzi huu kuwalenga wale wenye idea za biashara lakini kinachowakwamisha ni mtaji. Kama wewe unaamini una wazo zuri la biashara na huna mtaji,basi mimi nataka kushirikiana na wewe,mimi nitatoa mtaji wa kuanzia milioni 2-15 au hata zaidi kama nitashawishika na wazo lako. Ninachotaka ni hivi,nataka faida itakayopatikana kwa biashara itokanayo na wazo lako itufaidishe mimi na wewe. KUMBUKA:Sikopeshi pesa bali nataka tushirikiane ili sote tupate faida. HUNIJUI SIKUJUI na siwezi kukuamini tu kwa maneno.Ili nikuamini inabidi utafute mbinu za UHAKIKA za kunifanya nikuamini. Vile vile inabidi unishawishi vizuri ili niweze kuliamini wazo lako la biashara kabla sijawekeza pesa zangu. Are you interested? Please PM me. Thank you and God bless you all.

Bibie QueenKami nime ku PM but hukunijibu kama umevutiwa na wazo langu au la, nicheki kwenye email yangu kizitomartine@gmail.com au 0769977222.
Natanguliza Shukrani.
 
Habari zenu wakuu.
Natumai mnaendelea vyema na harakati za kusukuma gurudumu la maisha.

Wakuu kuna watu humu wana pesa hawana idea nzuri za biashara,na kuna wengine wana idea nzuri lakini hawana mtaji.

Mimi ninaandika uzi huu kuwalenga wale wenye idea za biashara lakini kinachowakwamisha ni mtaji.

Kama wewe unaamini una wazo zuri la biashara na huna mtaji,basi mimi nataka kushirikiana na wewe,mimi nitatoa mtaji wa kuanzia milioni 2-15 au hata zaidi kama nitashawishika na wazo lako.

Ninachotaka ni hivi,nataka faida itakayopatikana kwa biashara itokanayo na wazo lako itufaidishe mimi na wewe.

KUMBUKA:Sikopeshi pesa bali nataka tushirikiane ili sote tupate faida.

HUNIJUI SIKUJUI na siwezi kukuamini tu kwa maneno.Ili nikuamini inabidi utafute mbinu za UHAKIKA za kunifanya nikuamini.

Vile vile inabidi unishawishi vizuri ili niweze kuliamini wazo lako la biashara kabla sijawekeza pesa zangu.

Are you interested?
Please PM me.

Thank you and God bless you all.

Nimeku PM! Call me or text me for more info.
 
Hivi vitu unakuja na wazo la biashara wengine wanakuja na mtaji vipo sana kwa wenzetu,sana sana kwenye sekta ya teknolojia, na kama mnavyojua benki hawawezi kukukopesha kwa wazo tu, wanahitaji biashara ambayo tayari inazalisha. Hao watu wanaotoa mitaji kwenye early stages kama hizo wanaitwa venture capitalists. ushauri wangu kwa wale wenye mawazo ambayo wanaona yanaweza kuwaingizia mabilioni ni bora wakaangalia kwanza jinsi gani watajilinda kabla ya kutangaza ideas zako kiholela, kwa mfano wenzetu kabla hujamwonyesha venture capitalist ideas zako, you make them sign a Non Disclosure Agreement{NDA}
 
Wazo langu litalindwa vipi? Hii siyo mbinu ya kuiba mawazo ya watu then uka implement kivyako bila kumuhusisha mwenye wazo?

Ni njia gani zinaweza kutumika kulinda wazo la mtu?
Kwenye intellectual property you can not protect ideas, haya mambo yanahitaji sana uelewa la sivyo mtu utajikuta unatajirisha watu wengine.
 
Ok. Nina shamba heka na nusu nataka fuga kuku wa nyama na ngombe maziwa. Mail moja ndo lipo umeme na maji vipo ni barabarani paitwa boko.
 
Ok. Nina shamba heka na nusu nataka fuga kuku wa nyama na ngombe maziwa. Mail moja ndo lipo umeme na maji vipo ni barabarani paitwa boko. Tuwasiliane plz.
 
ok,me nataka kuinvest kwenye TV lakini imekuwa ngumu sana,wadhamini hawaiamini sana project,wanataka nianze then ikivuta watacatch up na watalipa gharama zangu zote....cna mtaji,what do i do?
 
Ok. Nina shamba heka na nusu nataka fuga kuku wa nyama na ngombe maziwa. Mail moja ndo lipo umeme na maji vipo ni barabarani paitwa boko. Tuwasiliane plz.
 
Habari zenu wakuu.
Natumai mnaendelea vyema na harakati za kusukuma gurudumu la maisha.

Wakuu kuna watu humu wana pesa hawana idea nzuri za biashara,na kuna wengine wana idea nzuri lakini hawana mtaji.

Mimi ninaandika uzi huu kuwalenga wale wenye idea za biashara lakini kinachowakwamisha ni mtaji.

Kama wewe unaamini una wazo zuri la biashara na huna mtaji,basi mimi nataka kushirikiana na wewe,mimi nitatoa mtaji wa kuanzia milioni 2-15 au hata zaidi kama nitashawishika na wazo lako.

Ninachotaka ni hivi,nataka faida itakayopatikana kwa biashara itokanayo na wazo lako itufaidishe mimi na wewe.

KUMBUKA:Sikopeshi pesa bali nataka tushirikiane ili sote tupate faida.

HUNIJUI SIKUJUI na siwezi kukuamini tu kwa maneno.Ili nikuamini inabidi utafute mbinu za UHAKIKA za kunifanya nikuamini.

Vile vile inabidi unishawishi vizuri ili niweze kuliamini wazo lako la biashara kabla sijawekeza pesa zangu.

Are you interested?
Please PM me.

Thank you and God bless you all.

Bado unahitaji mkuu? Ninayo mawazo kadhaa ya biashara kubwa na ndogo.
 
Back
Top Bottom