Je una wazo zuri la biashara lakini huna mtaji? Ongea na mimi

Nataka nianzishe kituo cha TV kanda ya kaskazini(based in Arusha)
 

Mkuu nimekupata na nashukuru sana Kwa kutoa huo uzi.

Nina wazo zuri la biashara na naamini utalipenda ukilisikia.

Nimeshaanza utekelezaji na naona si vibaya kama utapenda tushirikiane.

Bahati mbaya unashindwa kuku-pm na pia siwezi kuliandika hilo wazo hapa.

Lakini nakuachia namba yangu ya cm tutafutane kama utapenda ni 0714 210 884.

Ahsante
 
Hii thread ni ya Novemba, nadhani ingali valid kiutekelezaji. Mimi nina wazo la muda mrefu la kufanya biashara ya kupeleka gemstones nje kama MASTER DEALER. Nina vyanzo vizuri vya gemstones kwani nina wadogo zangu ambao ni wachimbaji wadogo wa vito. Mimi sina mtaji kwa ajili ya LESENI, KUKODI OFISI NA KUNUNUA VITENDEA KAZI MUHIMU (ambavyo navifahamu!). Nina uzoefu wa kusafiri nje ya nchi hasa Ulaya na Marekani na ni msomi, ambavyo ni mtaji muhimu kwenye biashara hii. Haya nasubiri queenkami.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…