Je una wazo zuri la biashara lakini huna mtaji? Ongea na mimi

Je una wazo zuri la biashara lakini huna mtaji? Ongea na mimi

Nataka nianzishe kituo cha TV kanda ya kaskazini(based in Arusha)
 
Habari zenu wakuu.
Natumai mnaendelea vyema na harakati za kusukuma gurudumu la maisha.

Wakuu kuna watu humu wana pesa hawana idea nzuri za biashara,na kuna wengine wana idea nzuri lakini hawana mtaji.

Mimi ninaandika uzi huu kuwalenga wale wenye idea za biashara lakini kinachowakwamisha ni mtaji.

Kama wewe unaamini una wazo zuri la biashara na huna mtaji,basi mimi nataka kushirikiana na wewe,mimi nitatoa mtaji wa kuanzia milioni 2-15 au hata zaidi kama nitashawishika na wazo lako.

Ninachotaka ni hivi,nataka faida itakayopatikana kwa biashara itokanayo na wazo lako itufaidishe mimi na wewe.

KUMBUKA:Sikopeshi pesa bali nataka tushirikiane ili sote tupate faida.

HUNIJUI SIKUJUI na siwezi kukuamini tu kwa maneno.Ili nikuamini inabidi utafute mbinu za UHAKIKA za kunifanya nikuamini.

Vile vile inabidi unishawishi vizuri ili niweze kuliamini wazo lako la biashara kabla sijawekeza pesa zangu.

Are you interested?
Please PM me.

Thank you and God bless you all.

Mkuu nimekupata na nashukuru sana Kwa kutoa huo uzi.

Nina wazo zuri la biashara na naamini utalipenda ukilisikia.

Nimeshaanza utekelezaji na naona si vibaya kama utapenda tushirikiane.

Bahati mbaya unashindwa kuku-pm na pia siwezi kuliandika hilo wazo hapa.

Lakini nakuachia namba yangu ya cm tutafutane kama utapenda ni 0714 210 884.

Ahsante
 
Hii thread ni ya Novemba, nadhani ingali valid kiutekelezaji. Mimi nina wazo la muda mrefu la kufanya biashara ya kupeleka gemstones nje kama MASTER DEALER. Nina vyanzo vizuri vya gemstones kwani nina wadogo zangu ambao ni wachimbaji wadogo wa vito. Mimi sina mtaji kwa ajili ya LESENI, KUKODI OFISI NA KUNUNUA VITENDEA KAZI MUHIMU (ambavyo navifahamu!). Nina uzoefu wa kusafiri nje ya nchi hasa Ulaya na Marekani na ni msomi, ambavyo ni mtaji muhimu kwenye biashara hii. Haya nasubiri queenkami.
 
Back
Top Bottom