Je unaamini Bila Wema Sepetu Diamond asingefika hapa kimuziki?

Joined
Aug 20, 2014
Posts
10
Reaction score
13
Pamoja na sifa nyingi ambazo amejizolea mwanamuziki Naseeb Abdul "Diamond" ni kweli ana kipaji na pia anajituma katika kazi zake. Ila asisahau kwamba hatua aliyofika leo pamoja na kujitahidi kwake kuna mkono wa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu

Kwanini nasema hivi? kuna waimbaji wengi wanaimba vizuri na wana vipaji kuliko Diamond, alichofanikiwa diamond ni kucheza na feelings za mashabiki, kivipi? Wema Sepetu anapendwa sana kwahiyo ukiunganisha mashabiki wa Wema na Mashabiki wake Diamond anafanya vizuri mara mbili ya alipokuwa mwanzo bila Wema. Ndiyo maana hathamini mahusiano yule anachojali ni yeye kuwa juu, masuala ya mambo mengine tupa kule

Najua watakuja wengi kunipinga akina meneja wake, nk

Lakini Wema Sepetu ndo kampandisha jamaa chati, na asingekuwa na Wema kwa sasahivi angeshuka sana kimziki maana muziki wake umekuwa boosted baada ya kurudiana na Wema, alikuwa kashaishiwa!

Anyway yangu ndo hayo kwa leo...goodbye!

We kijana kwani facebuku imefungwa.....jinga kabisa
 
Wema hana jipya domo anafight mwenyewe n anajua nini mashabiki wke wanataka,huyo wema yeye fani yke kigodoro kubali kataa ila ndio hvyo,halafu naskia ni teja mda c mrefu gari itawaka moto.
Huna jipya kma boss wko
 
Unampenda huyo malaya wewe na familia yako, usiwasemee wenzio.Huyo anapendwa na watu waishiyo kwa papuchi full stop.Nyie mashabiki wa Wema mngemsaidia hata kwenye familia yake angetoka diwani kutokana na historia ya marehemu balozi Isack Sepetu.Msijidanganye kuwa Wema ana mashabiki walio wengi bali mashabiki wake ni wale wanaomuadmire kutumia papuchi yake kuchuna watu.Diamond piga kazi kama hiyo nyota angepeleka kwao iwang'arishe.
 
Umenenaa siongei zaidii
 
Mi naona juhudi zake mwenyewe bwana na kufanya kazi kwa kujituma bila kukata tamaa
 
Mbona Ally kiba anamega madam Rita lakini hapandi chart. Akiunganisha mashabiki wa kikongwe madam Rita na wakwake si atapanda chart? Au? Rizik ya mtu haimtegemei mtu
 
Pamoja na sifa nyingi ambazo amejizolea mwanamuziki Naseeb Abdul "Diamond" ni kweli ana kipaji na pia anajituma katika kazi zake. Ila asisahau kwamba hatua aliyofika leo pamoja na kujitahidi kwake kuna mkono wa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu

Kwanini nasema hivi? kuna waimbaji wengi wanaimba vizuri na wana vipaji kuliko Diamond, alichofanikiwa diamond ni kucheza na feelings za mashabiki, kivipi? Wema Sepetu anapendwa sana kwahiyo ukiunganisha mashabiki wa Wema na Mashabiki wake Diamond anafanya vizuri mara mbili ya alipokuwa mwanzo bila Wema. Ndiyo maana hathamini mahusiano yule anachojali ni yeye kuwa juu, masuala ya mambo mengine tupa kule

Najua watakuja wengi kunipinga akina meneja wake, nk

Lakini Wema Sepetu ndo kampandisha jamaa chati, na asingekuwa na Wema kwa sasahivi angeshuka sana kimziki maana muziki wake umekuwa boosted baada ya kurudiana na Wema, alikuwa kashaishiwa!

Anyway yangu ndo hayo kwa leo...goodbye!

Mhh jaman ya kweli haya au ..

..

Mhmgh,hii kali sana
 
Mkuu huo ndio ukweli. Watatoka povu hapa, watagaragara, ila kiukweli dogo alipaishwa sana na dada Wema.
 
Labda watu hawafahamu nini maana ya msanii wa muziki ila kiukweli wema alishatembea na mr blue,tid,kanumba na hao wote walikuwa mastaa kabla je wema aliwapandisha kivipi?unajua binafsi nachukia kukuta mtanzania anashindwa kufikiri vizuri,kiukweli tukiacha ubishi jamaa ni miongoni mwa wanamuziki wachache bongo ambao ukilipa kiingilio chako huwezi jutia hata akiwa peke yake bila wasanii saidizi,anafanya kazi na ananyota ya kistaa,piwa wabongo tukubali mabadiliko ktk fikra zetu ili tusapoti huu mziki mtu akiwa anajua anajua tu cha msingi ni kumsaport
 
Domomond atamkumbuka komwe sepetu kwa kumpa wazo la kujifunza lugha ya malkia basi
 
Mkuu huo ndio ukweli. Watatoka povu hapa, watagaragara, ila kiukweli dogo alipaishwa sana na dada Wema.

Diamond alipaishwa na "kamwambie" kisha "mbagala" na zingine Wema angekuwa ndio anampaisha basi walipoachana Dai angeshuka,ila ndio alizidi kuwaka na my number one aliyoitoa akiwa na Penny.
 
Hivi alivyo toa kamwambie alikuwa alikuwa na uhusiano na Wema?
 
Back
Top Bottom