mrekebishatabia
Member
- Aug 20, 2014
- 10
- 13
Pamoja na sifa nyingi ambazo amejizolea mwanamuziki Naseeb Abdul "Diamond" ni kweli ana kipaji na pia anajituma katika kazi zake. Ila asisahau kwamba hatua aliyofika leo pamoja na kujitahidi kwake kuna mkono wa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu
Kwanini nasema hivi? kuna waimbaji wengi wanaimba vizuri na wana vipaji kuliko Diamond, alichofanikiwa diamond ni kucheza na feelings za mashabiki, kivipi? Wema Sepetu anapendwa sana kwahiyo ukiunganisha mashabiki wa Wema na Mashabiki wake Diamond anafanya vizuri mara mbili ya alipokuwa mwanzo bila Wema. Ndiyo maana hathamini mahusiano yule anachojali ni yeye kuwa juu, masuala ya mambo mengine tupa kule
Najua watakuja wengi kunipinga akina meneja wake, nk
Lakini Wema Sepetu ndo kampandisha jamaa chati, na asingekuwa na Wema kwa sasahivi angeshuka sana kimziki maana muziki wake umekuwa boosted baada ya kurudiana na Wema, alikuwa kashaishiwa!
Anyway yangu ndo hayo kwa leo...goodbye!