Pure_sapiens
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 2,228
- 2,064
Uchawi ni elimu ya nguvu za giza mkuuNimekuuliza uchawi ni nini?
Hujanijibu.
Sent from my Kimulimuli
Mzungu kua mungu ni katika muktadha wetu wa neno kutoholewa na kupata neno jipya, siyo katika imani. Kila nilichoandika ni kuhusu neno tu wala siyo juu ya imani ya uwepo wa mungu.
Ni ama umenielewa vibaya au haujataka kuelewa nilichoandika.
Swala la racial pride kwangu halina nafasi, ninang'ang'ana na facts.
Kama lexicology inasema 'mzungu' inaweza kua 'mungu' huna budi kukubali kua 'mzunguka' inaweza kua 'mzungu'
Samahani kama unahisi tunajibizana lakini kama tutafunga mawazo yetu kwenye sources tutakua tunakataa baadhi ya facts.
Mfano Afrika tulikua/ tuko nyuma katika kutunza rekodi ni wazi kua hatutapata source ya hili neno kutokea Afrika.
Na ndiyo maana mimi sikujikita katika kukataa au kukubali ila nilionyesha jinsi utohoaji unavyoweza kuleta neno jingine.
Siku njema
Wewe ni mkazi wa songea eneo gani mkuumkuu nilipoona to hii thread nikasemaa hii lazma itakua kwetu kusini, kiukweli huko kwetu kuna uchawi sana yan, yan hata mm kiukweli nimejenga tabia ya kufananisha tukio lolote linalotokea katika hali ya kawaida na uchawii,, watu wanalogana sana songea, watu wanatajrika sana kwa uchawii, watu wengi wanautajiri wa nyoka kama unakumbuka miez c mingi watu waliua nyoka na mtu wake huko kwetu songea, so uchawii upo na ni kawaida sana kwa cc wakaz wa uko. Over
Unaposema "elimu ya nguvu za giza" una maana gani? That is a vague statement.Uchawi ni elimu ya nguvu za giza mkuu
critical thinker
Ok sawa,kwenye picha hilo gari lenu?Acha ujinga wewe
critical thinker
Nimetoa link yenye etymology hapo juu.
Habari ya kuzunguka imekuwa treated as a joke, mwisho, baada ya mazungumzo ya mizungu.
Sent from my Kimulimuli
Sitaki kuamini, nataka kujua.Wewe amini unachoamini.
Kwangu 'mzungukaji' ndo nadharia inayokubalika zaidi kwa sababu inaingia akilini.
Hiyo ya 'mizungu' hai make sense kabisa.
Sitaki kuamini, nataka kujua.
Hakuna jambo lolote linaloweza kujulikana kwa uhakika kabisa.Kwenye hili kujua kwa uhakika ni vigumu na ndo maana unaona kuna maelezo tofauti kuhusu asili ya hilo neno.
Na hiyo hali ni ya kawaida sana katika lugha.
Hata kwenye lugha zingine maelezo kuhusu chanzo cha maneno flani flani huwa yapo kadhaa.
Kwa hiyo sishangai kuona neno 'mzungu' lina maelezo tofauti kuhusu chanzo chake.
Katika hali kama hiyo ni juu yako kukubali unachotaka kukubali.
Wewe umeyakubali maelezo ya 'mungu' na mimi nimeyakubali maelezo ya 'mzungukaji'.
hayaja kukuta boss hata mimi nikua kama weweHakuna uchawi wala nini hizo ni mbwembwe tu.
Nasikia wamemfanyia hiyo Magufuli Ikulu mpaka anataka kuhamia Dodoma.
Ila mimi siamini uchawi. Inawezekana ni sayansi isiyojulikana tu.
Nikupe mfano.
Ukimchukua mtu wa miaka ya 1600 huko, ukamuonyesha jinsi ndege inavyopaa, jinsi mawasiliano ya internet na redio yanavyofanya kazi,etc, halafu ukamwambia huu uchawi, most probably atakubali ni uchawi.
Kwa sababu kwake ni vitu vya ajabu.
Kumbe ni vitu vinavyoweza kuelezeka naturally tu,huhitaji supernatural powers kuvielezea.
Kuna muandishimmoja nampenda sana wa science fiction, anaitwa Arthur C. Clarke, alisema "Any sufficiently advanced technology is indistiguishable from magic".
Teknolojia yoyote iliyoendelea sana haitofautiani na uchawi.
Sasa mtajuaje mnachoita uchawi ni uchawi (i.e, supernatural powers) au ni kitu kinachotumia sayansi na teknolojia ambayo hamjajijua tu (i.e natural powers but unknown at the time) ?
How do you tell the difference?
Wale mababu zetu walioona wazungu wanajua kutabiri kupatwa kwa jua waliwaona wazungu wachawi (ndiyomaana wakawaita wazungu,wazungu maana yake ni miungu - ukichukua mzungu ukatoa z unapata mungu -).
Sasa tutajuaje kwamba tunachofikiri ni uchawi si sayansi tofauti tu ambayo hatujaijua?
If at all the suspicion is authentic.
Nadharia unayosema ndiyo hasa imeonekana ni ya utani tu.
Duh,kumbe na wewe umesikia hizo habari eenh?Zile siku za mwanzo nasikia hakulala kabisa kwenye ile nyumba nyeupe..kulikua na mauzauza hatari
Nimeokoka ndugu kwa hiyo ni ngumu sana kunipata.hayaja kukuta boss hata mimi nikua kama wewe
Imeonekana ni ya utani kivipi?
Hujui kuwa baadhi ya maneno hutokana na mtu au kitu kuwa cha aina flani na hapo neno kuhusu huyo mtu au hicho kitu ndo hutokea?
Hilo la mzungu kuwa mzungukaji nimelijua tokea nikiwa dogo kabisa.
Katika maongezi yangu na wataalamu wa lugha [ Prof. Herman Batibo....Google him....Msukuma huyo] kutoka idara ya lugha za kigeni na isimu ya chuo kikuu cha Dar, nadharia waliyokuwa wanaikubali zaidi ni hiyo ya 'mzungukaji' kwa sababu ilikuwa inaakisi uhalisia wa hao wageni waliokuja.
Soma kidogo kuhusu Batibo hapo Herman Batibo, University of Botswana
Hili la mzungu kuwa mungu hali make sense kwa sababu ilikuwa na bado inadhaniwa kuwa mungu haishi duniani. Anaishi mbinguni.
Hivyo mzungu hawezi kuwa mungu. Mzungu ni mzungu kutokana hali yake ya kuzunguka huku na kule tofauti na ilivyokuwa kwa wenyeji wa maeneo hayo ambayo wazungu walifika.