Je, unaamini kuwa uchawi upo?

kutokua na taarifa sahihi bdo haitoi maana ya KUJUA., Kwani ukisoma "tanganyika ilipata uhuru Mwaka 1967" utakua Umejua au umeamini?.

Sent from my GT-S6790 using JamiiForums mobile app
Umejua au umeamini nini?

Swali langu hujajibu.

Kama mwalimu anakutahini kama unajua pembetatubya Eu lid ina nyuzi ngapi.

Ukaandika ina nyuzi 360 badala ya 180.

Akupe pata unajua au akupe kosa hujui pembetatu ina nyuzi ngapi?

Sent from my Kimulimuli
 
Kule Sumbawanga kuna wazee wanahamisha nyumba za wenzao kishirikina..yaani unaamka asubuhi uko sehemu tofauti lakini nyumba ileile..hii sio chai,its true..
Pia nimewahi kusikia Sumbawanga wanao Uchawi wa Mvua, Yaani Mvua inaweza nyesha kasehemu kadogo tu, labda mfano Nyumba tatu zilizopakana halafu kwingine Mvua hainyeshi.

Na Uchawi mwingine Sumbawanga ni ule wa Radi ya kutengeneza.

Jamani, wenyeji wa Sumbawanga hebu tujuzeni.

Haya Mawili kati ya mengi niliyosikia kuhusu Sumbawanga yana ukweli wowote!

Au ni mazungumzo baada ya Habari!
 
Nyoka za songea hzo hazijawahi kuwaacha watu salama
Hii scenario ya pili kuacha ile ya yule mzee aliyebeba nyoka kwenye boksi
Inaonekana songea wanatumia sana nyoka
hapo kiwalala ni lindi

Sent from my HUAWEI P7-L10 using JamiiForums mobile app
 
Kila siku zinavyozidi kwenda naona napata msongo wa mawazo juu ya kupoteza kazi yangu ambayo nilikuwa naipenda sana sana, ila kutokana na Boss kuamua kunifukuza kwa makosa aliyoyaelezea naona hayakuwa na mashiko bali tu ni maneno ya kuambiwa ndio yamemfanya Boss wangu anifukuze kazi.

Je naomba nichukue nafasi hii kuwaomba ndg zanguni mwenye kujua juju za kumwondoa alifanyisha kuniondolesha kazini niweze yeye kumuondoa kabisa! Maana nimevumilia siwezi kabisa bila kumuondoa yeye nafsi yangu itazidi kuniuma zaidi.
 
Yan hiyo roho ya kutaka kumuondoa yeye ndo uwe na amani tayari ni UCHAWI MKUBWA SANA ,, haina haja ya kwenda kuloga tena... waganga wenyewe ndo hawa wa kujidai wamekosea kutuma msg alafu inakuja kwako ni bure kabisa
 
Yan hiyo roho ya kutaka kumuondoa yeye ndo uwe na amani tayari ni UCHAWI MKUBWA SANA ,, haina haja ya kwenda kuloga tena... waganga wenyewe ndo hawa wa kujidai wamekosea kutuma msg alafu inakuja kwako ni bure kabisa
Aisee naomba msaada wa kumjua mganga wa kweli nikamalizane nae kuhusu suali hili
 
Habari za muda huu tulivu wapendwa wangu wa Jf,

Niende moja kwa moja kwenye mada husika, ilikuwa siku moja nilikuwa natoka kuwatafuta rafiki zangu mitaani maana wao waliwahi kurudi nyumbani mimi waliniacha shule nikiwa nawasaidia walimu kusahihisha mitihani ya kidato cha pili,sasa niliporudi nyumbani sikuwakuta kwani tulipanga ktk nyumba moja.

Baada ya kuona hawapo nikaamua kipita mitaani kuwatafuta kwa bahati mbaya niliwatafuta kwa muda mrefu sana bila mafanikio, ilipofika saa tatu ya usiku nikaamua kuanza kurudi nyumbani tu maana wao sikuwaona

Sasa nikiwa njiani kuelekea nyumbani nilipofika karibu na kanisa nikashangaa nimemulikwa na mwanga mkali sana toka juu ya mti nilioupitia jirani yaani huo mwanga sijawahi kuuona tangu nizaliwe mpaka leo hii na huo mwanga baada ya kunimulika ulipotea juu kwa juu na kutoweka ghafla.

Kwa kuwa nilikuwa peke yangu ikabidi nianze kukimbia kwenda nyumbani aisee niliona nyumbani ni mbali kama naenda urusi hivi sijui wenzangu kama mmeshawahi kukutana na matukio ya ajabu ajabu kama yalivyonikuta mimi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…