Je, unaamini kuwa uchawi upo?

We ulipishana na bahati, malaika walitaka kukujaza bingo utajirike we ukakimbia mapesa ya bure.
 
Bahati mbaya ni mvivu wa kuandika lakin kisa cha kusisimua zaid maishani mwangu ni kitendo cha mganga toka tanga kufariki ghafra baada ya kumaliza kutoa kafara ya kondoo pale nyumbani mwanza
mhhhh,,, Mwanza ya wapi?
 
Duuuh,, pole
 
Poleee
 
Ahahaaha, ndugu yangu vile mnavyoviita vimondo mara nyingi siyo vimondo.....ni Wanga wanaruka....
 
Kumbukeni enzi za Kikwete jinsi wabunge na mawaziri walivyokuwa wanauwa maalbino ili wapewe vyeo.
 
Nimewahi kuona moto chini ya mti, asubuhi ilibidi nirudi kuona majivu, wala sikuona.
 
mimi huwa nataka kukutana na mtu aliyelogwa au kuwekwa msukule au kufanyiwa jambo lolote la kilozi, au anayeweza kuloga aniloge mimi... coz kila anayeelezea mambo haya huwa anarefer rafiki/ndugu ama mtu anayemfahamu........

BTW kwa hiyo story yako inaonesha ww ulitafsiri kama uchawi kumbe mtu alitaka kukutisha kwa kukumulika na zile tochi za betri 12😀😀😀😀😀.... sasa kwa taharuki na woga adrenaline ikashusha ujumbe mzito ambao ukafanya ubongo wako ukkolapse na kushindwa kukadiria umbali... ndo maana ukaona nyumbani mbali😀😀😀😀😀
 
Wanawake huko Jamhuri ya Afrika ya Kati ni wahanga wa tuhuma za uchawi ambapo wengi wanatumikia kifungo jela, kwasababu uchawi ni uhalifu kwa sheria za nchi. Je wewe unaamini uchawi upo?. Papo kwa Papo 02.08.2018.
 
Mkuu huu mda na huu uzi wako na hizo mambo eeeeh, ngojea wakuje wenye vitu yao
 
binafsi siamini huu upuuzi..

nashukuru Mungu elimu imenikomboa..

kuna wzkat najiuliza kwanini zinaitwa "Iman potofu"?

niliacha kuwaza haya mambo tangu nikiwa kidato cha nne baada ya kusoma kile kitabu cha THIGS FALL APART.
 
binafsi siamini huu upuuzi..

nashukuru Mungu elimu imenikomboa..

kuna wzkat najiuliza kwanini zinaitwa "Iman potofu"?

niliacha kuwaza haya mambo tangu nikiwa kidato cha nne baada ya kusoma kile kitabu cha THIGS FALL APART.
Hayajakukuta ndio maana unaongea hivyo.ila omba Mungu usikutane na haya mambo
Ila kama unaamini Mungu yupo basi amini uchawi upo,ila kama huamini uwepo wa Mungu basi uchawi haupo
 
Yaani hata hueleweki, umeanza thread yako vzuuuuuri kwamba huamini ktk uchawi, lkn ktkt ya thread yako umeeleza jinsi uchawi ulivyo na matumizi yake, Ni kweli uchawi Ni nguvu zisizo onekana kwakuwa wachawi Kama wachawi nguvu zao ziko kiroho kuliko kimwili kwa Hali kawaida huwezi kuziona na umekiri ktk mstari wako wa mwisho kwamba huo ndo uchawi, Sasa hebu jipambanue zaidi....maana hata wanasayansi wako hao wanaokudanganya CERN hawana jipya lakuanza ktk project yao yoyote ile mpya lazima watoe kafara ya mtu, hii inaonyesha ktk kuamini nguvu flani zitokanazo na ushirikina...mungu mwenyewe ushirikina kauzungumzia, Sasa hebu jipambanue wewe unaamini ktk lipi...
 
Hayajakukuta ndio maana unaongea hivyo.ila omba Mungu usikutane na haya mambo
Ila kama unaamini Mungu yupo basi amini uchawi upo,ila kama huamini uwepo wa Mungu basi uchawi haupo
Mr Masodas naungana na wewe
Nikweli kama hayaja kukuta unaweza ukaamini hayo mambo hayapo lakini kama yamekukuta kama mimi apa unaweza ukakubali bila ubishi hayo mambo yapo
Mfano mimi mwaka 1999 majila ya saa 09 usiku nilikuwa nimelala nikabanwa haja ndogo ikabidi nitoke nje, baada yakutoka nikapiga hatua kazaa kulikuwa kalibu na shamba la mahindi nikasimama ile nataka kujisaidia nikaona kama paka ananijia
Maraghafla huyo paka akabadilika na kuwa binadamu tena wakike akiwa uchi niliogopa sana ilikuwa usiku wa giza. ile kujihami ikabidi nipige kelele huku nikiludi nyuma
Huyo mtu akapotea ghafla namimi nikakimbilia ndani siku hiyo sikupatwa na usingizi.
Kesho yake ashubuhi tulipo enda kuangalia sehemu lilipo tokea tukio hatukuona hata unyayo
Baada ya siku 3 nikaugua sana
Ndo nikaamini uchawi upo
Ukiona mtu ana bisha jua hayajamukuta
 
Siku ukibahatika kuwa na jicho la tatu angalau kwa dk. chache ungeona ulimwengu wa roho na ungeamini. Mbona dunia nzima inaongozwa na ulimwengu wa roho? Dini ni fix tu kukupumbaza
 
serikali lazima iseme haitambui uchawi kwani kesi ya uchawi ushaidi wake hauwezi kuwa rahisi kutolewa waziwazi lazima matendo ya kichawi yatumike sasa unafikiri hakimu atkubali kushuhudia vimbwanga mahakamani?
Mh hawezi kabisaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…