Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,921
- 4,240
Hayo yote yanatokea kwa kuwa mwanamke ameumbwa na moyo wa huruma lakini si kwamba we are dumb. Kwenye nyanja hizo za uongozi na hizo taasisi za kutetea haki za wanawake zipo tu kwa kuwa mwanamke hakypewa nafasi tangia zamani, alinyimwa nafasi makusudi na mwanaume akapewa power hiyo. Kwa ufupi ni mentality ya mfumo dume ndo imemfikisha mwanamke hapa alipo kiasi cha kumfanya anyanyaswe kila sector. Lakini ukweli ni kwamba ukichagua mwanamke na mwanaume ukawapa fursa sawa at 0 point bila mambo mengine yoyote, mwanamke ni clever tena sana tu. Thats what i believe though.
Ok.huo pia ni mtizamo wako.Lakini takwimu zinaonyesha jinsi gani wanawake walivyonyuma kwa vitu vingi hasa hapa Tanzania.Nakupa mfano mwingine ni kazi ya Urais,hajawai tokea rais mwanamke na kuja kutokea ni labda baadae sana.
Hayo unasema ya kuwa wanawake wana huruma na mfumo dume ni vyanzo vya kuwafanya wanawake wasiwe wajanja.Na haya matatizo yamekuwa kwa muda mrefu sasa,kwa hiyo bado tuna kazi kubwa sana kuwafikia wanaume.
usichukulie eneo dogo la wanawake waliopo mjini au kwenye vyuo,hii ni asilimia ndogo sana.Wanawake wenzetu wengi wapo katika viwango duni sana kuliko unavyofikiri.