Je Unabisha??


Ok.huo pia ni mtizamo wako.Lakini takwimu zinaonyesha jinsi gani wanawake walivyonyuma kwa vitu vingi hasa hapa Tanzania.Nakupa mfano mwingine ni kazi ya Urais,hajawai tokea rais mwanamke na kuja kutokea ni labda baadae sana.
Hayo unasema ya kuwa wanawake wana huruma na mfumo dume ni vyanzo vya kuwafanya wanawake wasiwe wajanja.Na haya matatizo yamekuwa kwa muda mrefu sasa,kwa hiyo bado tuna kazi kubwa sana kuwafikia wanaume.
usichukulie eneo dogo la wanawake waliopo mjini au kwenye vyuo,hii ni asilimia ndogo sana.Wanawake wenzetu wengi wapo katika viwango duni sana kuliko unavyofikiri.
 
Mwanamme ofcouze,hilo si swali
ukinisaidia hapo tu nitakuelewa. Nani alimnyima tangia zamani, na huyo aliyemnyima mwanamke, alipewa nini na mwanume hadi akampendelea?

Hapo tu mpendwa!
 
ukinisaidia hapo tu nitakuelewa. nani alimnyima tangia zamani, na huyo aliyemnyima mwanamke, alipewa nini na mwanume hadi akampendelea?

hapo tu mpendwa!
Jamii ilimnyima mwanamke nafasi, na mwanamme hakutoa kitu ili apewe hiyo nafasi, it was just selfish behaviour, and i think it was after realizing that women are very clever so the only way to tame them is to deny them power.
 
Ujanja katika nyanja gani? Mnataka kuleta hoja zenu za kutonea wanawake. Tena mtutue kabisa!
 
Jamii ilimnyima mwanamke nafasi, na mwanamme hakutoa kitu ili apewe hiyo nafasi, it was just selfish behaviour, and i think it was after realizing that women are very clever so the only way to tame them is to deny them power.

Mpaka unafikia hatua ya kukubali kwa ridhaa yako kunyimwa nafasi na fursa at the first place si ujinga huu jamani?Tungekuwa wajanja tusingekubali kamweeeeeeeeeeeeeee.Walituzidi ujanja wakajua jinsi ya kutukandamiza.
 
Mwanamme ofcouze,hilo si swali

pear jaribu kuelewa swali. unaposema mwanaume, mwanaume ni Mungu? si nayeye ni mwanadamu kama mwanmke? na waliumbwa sawa (kama mnavyojidanganya siku zote)

imajine mimi na wewe leo tuko level moja halafu inatokea kesho nimekuacha hatua kadhaa, unadhann nitakua nimekuacha kwa sababu"\:
-sijakuvuta twende pamoja? au
-nimeongeza kasi na wewe ukashindwa kuhimili? au
-ulikuwa umesinzia ndo maana uliposhtuka tyari nimekuacha? au
-.................. au
-...............
 

Kilichotokea kwa sisi wenye imani ya kikristo biblia inaonesha kwamba mwanamke ndiye wa kwanza kuwa mjanja kwa maana ndiye aliyesababisha kujua mema na mabaya, ''wakafumbuliwa macho wakajiona wako uchi wakajificha'' lakini pia ikaamriwa atatawaliwa na mumewe. Ndio maana wanawake hasa wanasiasa wasiosoma maandiko wanaanzisha vyama vya kutaka kuwa sawa na wanaume, wamesahaau..........
 
Jamii ilimnyima mwanamke nafasi, na mwanamme hakutoa kitu ili apewe hiyo nafasi, it was just selfish behaviour, and i think it was after realizing that women are very clever so the only way to tame them is to deny them power.

hicho kitu unacoita "jamii" ndio bado kueleweka vizuri.

njuavyo mimi jamii hujumuisha wanawake na wanaume. sasa wanawake clever walikuwemo halafu wanaume wapumbavu wakatake all powers! inaingia akilini?

fafanua vizuri ni nani huyo aliyemuonea mwanmke kiasi hicho kwa miongo yote hiyo na mwanamke akashindwa kabisa kujikomboa hadi sasa nalilia upendeleo? otherwise hajikomboi mpaka kiama!

tafadhari
 
Wanawake ni wajanja, werevu, watundu na wana mbinu nyingi zaidi ya wanaume.
Nabisha!
Wanaume ni wajanja, werevu, watundu na wana mbinu nyingi kuliko wanawake.
 
Mara nyingi sana katika maisha usipojua udhaifu au matatizo ni ngumu sana kupata ufumbuzi.Inabidi tufike mahali wanawake tuwe wakweli kwa nafsi zetu ili tujue matatizo yalipo na kujikwamua.Tukiendelea kujipa faraja za uongo kila siku tutakuwa watu wa kuonewa.
Nadhani tuna kila sababu ya kujifanyia SWOT Analysis.
 
Mpaka unafikia hatua ya kukubali kwa ridhaa yako kunyimwa nafasi na fursa at the first place si ujinga huu jamani?Tungekuwa wajanja tusingekubali kamweeeeeeeeeeeeeee.Walituzidi ujanja wakajua jinsi ya kutukandamiza.

hawezi kufafanua huyu, we subiri tu aendelee kujikanyaga.................
 
My dia swali nimelielewa sana,the issue ni kwamba kama mm na ww tuko levo moja leo,mm ntakaposkia chochote cha maendeleo ntakushirikisha na kuhutaji maoni yako kwanza while ww hutanishirikisha utaenda huko na kufanya hayo bila mm,most wanaume ni very selfish,tuna mifano mingi tu dia utakuta mwanamme anajiendeleza kielimu but mkewe hamuendelezi na akiomba utaskia mm nasoma,watoto wanasoma sina pesa ya kukusomesha na ww kwa wakati huu,tumeona dia hata kwa viongozi wetu wengi,wazazi wetu etc
 
eeeeeeeeh uncle hukujua hilo?

kama hivyo ndivyo je kwanini biblia inatuambia takae na wake zetu kwa akili kwani ni viumbe vidhaifu.

mwanamke ili apate sifa alizosema buji lazima apate kwa mwanaumeπŸ™„πŸ˜•
 
Wawili ni wawili tu mpz mwanamke ni mbunifu but anaitaji mwanamme kumsaidia na kumtia moyo
kama hivyo ndivyo je kwanini biblia inatuambia takae na wake zetu kwa akili kwani ni viumbe vidhaifu.

Mwanamke ili apate sifa alizosema buji lazima apate kwa mwanaumeπŸ™„πŸ˜•
 
Wawili ni wawili tu mpz mwanamke ni mbunifu but anaitaji mwanamme kumsaidia na kumtia moyo

there ur are yani kwa jb ulotoa linatosha kumaliza ubishi na kumjibu buji kuwa TUNABISHA
 
Mpaka unafikia hatua ya kukubali kwa ridhaa yako kunyimwa nafasi na fursa at the first place si ujinga huu jamani?Tungekuwa wajanja tusingekubali kamweeeeeeeeeeeeeee.Walituzidi ujanja wakajua jinsi ya kutukandamiza.
Si kweli kwamba mtu anakubali kwa ridhaa yake kunyimwa nafasi, ila mazingira, imani, na mazoea/mila. hivi vyote kwa namna moja au nyingine vinapelekea mwanamke kuwa nyuma, na si ujinga kama unavyouita. lakini hoja inasimama pale pale hata kama ukiweka mwanaume na mwanamke wa age moja mwanamke atakuwa more clever in life realities than a man.
 
..Charity...Kama umemuelewa bujibuji vizuri mtazamo wake zaidi umelenga maisha ya kawaida ambamo na mwanamke yumo. Mambo ya harakati ni kipande kingine katika kutafuta kuwa juu tu. Mimi napenda kukubaliana na mwenye bandiko kuwa wanawake wengi wao ni wajanja,werevu sana.na ndio maana mambo mengine anayofanya mwanamke aidha bila mwanume wake kujua hawezi kuamini siku akigundua. Wanaume wengi si wajanja kiivyo, ila tu tumejaliwa kuwa na hulka ya kutumia nguvu na vishawishi tofauti na wanawake. Sasa wale wanaouuliza kuwa ujanja wa mwanamke uko kwenye nyanja gani wanaujua ukweli...kuanzia kwenye mahusiano,madaraka,elimu,siasa...Kwa mfano wanaume wangapi wanahangaika kupima watoto DNA? (wanahisi kutendwa na wanawake wao), wanawake wangapi wamepata nyadhifa kwa uwanawake wao, wanawake/wasichana wangapi wamefaulu mitihani vyuoni kwa uwanawake wao?, wanawake wangapi ambao wako kwenye siasa kwa uwanawake wao? wanawake wangapi wanaendesha magari mjini humu kwa magari waliyonunuliwa na wanaume kwa style mbali mbali? wanawake wangapi wamejengewa majumba na kufunguliwa biashara na wanaume kwa mitindo mbali mbali na mwisho kuishia kufanyiwa maumivu???....Sisemi wanawake ni watu wa kubebwa tu ila wanaweza ku-soften mambo kwa kutumia uwanawake wao.
 

sasa mpendwa, conclusion ikae hivi:

mwanamke si mjanja kuliko mwanume wala mwanume ssi mjanja kuliko mwanamke, bali hali halisi imetokana na maumbile yao ambayo pia yamepelekea nafsi tofati za maisha ya kijamii. ili kupunguza pengo kati yao inapaswa mwanume amshirikishe mwanamke katika yale ayafanyalo ili kumuwezesha kushiriki kikamilifu mchakato wa kujiletea maendeleo kwani mwanmke akiwezeshwa, anaweza.
 
Jamii ni wanawake na wanaume ndio, lakini wewe hujiulizi kwa nini hadi leo mwanamke akigombea cheo kikubwa wanawake wenyewe hawampigii kura? simply because mind zao zishakuwa brainwashed na wanaume ambao ni selfish na kuwafanya wajione hawawezi.
Hizi habari za kulilia upendeleo ni propaganda za kisiasa ambazo in one way or another zinapelekea mwanamke kuzidi kujiona hawezi ushindani, ni pychological way ya kumfanya mwanamke azidi kuwa chini, na mimi kama mimi sikubaliani, i believe i can do things than many men my age cant do.
Kuamua kujikomboa au kutojikomboa ni decision ya mtu binafsi, especially wale wanawake walioonja shule na exposure wakishindwa kujikomboa na kusubiri wanaume, hao wana matatizo. Lakini at the end of the day mwanamke ni clever in so many ways.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…