Je Unabisha??

Jamii ilimnyima mwanamke nafasi, na mwanamme hakutoa kitu ili apewe hiyo nafasi, it was just selfish behaviour, and i think it was after realizing that women are very clever so the only way to tame them is to deny them power.

hicho kitu unacoita "jamii" ndio bado kueleweka vizuri.

njuavyo mimi jamii hujumuisha wanawake na wanaume. sasa wanawake clever walikuwemo halafu wanaume wapumbavu wakatake all powers! inaingia akilini?

fafanua vizuri ni nani huyo aliyemuonea mwanmke kiasi hicho kwa miongo yote hiyo na mwanamke akashindwa kabisa kujikomboa hadi sasa nalilia upendeleo? otherwise hajikomboi mpaka kiama!

tafadhari
 
mwanamke ametoka kwa mwanaume so wanaume ni wajanja zaidi ila wanawake tukiwawezesha wanakuwa janja πŸ™„
 
Tuwe wakweli kwa kuamini kwamba sisi ni mambumbumbu? na kwamba wanaume ndo wanaweza kila kitu na sisi hatuwezi? That is what i get kama unajibu swali la thread. Na sasa tutajikwamuaje wakati tushakubali kwamba we are dumb? mimi bado naamini kwamba mwanamke ni more clever
 
Ninachoona hapo UNAKUBALI WANAWAKE SIO WAJANJA.Kuna kundi dogo sana la Wanawake wajanjan lakini wengi wetu ni kazi kwelikweli.

Kwenye blue-hayo yote ni MADHAIFU ya wanawake na sio ujanja.Kutaka kuonewa huruma kwa vile tu ni 'Mwanamke'

Kwenye Red - Wanaume wanaongoza kwa kuwa na watoto wa nje.Wanachiti sana wake zao.Wanawake wengi waaminifu.Tatizo ni kuwa Wanaume wakizaa nje wanaona ni halali lakini mwanamke akiwa na mtoto nje ya ndoa ni dhambi kubwa.Kwa hiyo huu nao sio ujanja.

Lete sababu nyingine..........
 
more clever how?
 
unajua camel mpenzi ungeisaidia sana jamii yetu kama unge-anylyse critically the point of departure from absolute (or relative wahtsover) equality btw men and women hadi kupelekea hii situation unayodemonstrate hapa, badala ya kudiscuss outcomes of that departure.

be critical please
 
Usichanganye na mambo ya POSITIVE THINKING.Sijasema kuwa tubweteke kwa vile kiukweli kabisa tumezidiwa kete na wanaume.Ninamaanisha tukijua tunaposhindwa ni rahisi kurekebisha madhaifu yetu.
Hivi Mgonjwa wa ukimwi akishapima atakataa kuwa hana HIV? Ukweli ni kwamba anayo Hiv na itabidi aanze dozi mara moja ya ARV ili kusolve tatizo.
 
kama hivyo ndivyo je kwanini biblia inatuambia takae na wake zetu kwa akili kwani ni viumbe vidhaifu.

mwanamke ili apate sifa alizosema buji lazima apate kwa mwanaumeπŸ™„πŸ˜•
Biblia imehauri wanaume wakae na wake zao kwa hekima, kwa kuwa usipokuwa na hekima mwanamke humuwezi, They far more cleverer than men, no wonder Adam alilishwa tunda alillokatazwa, so kazi kwenu kuamua.
 
tell them mumy tell them
Biblia imehauri wanaume wakae na wake zao kwa hekima, kwa kuwa usipokuwa na hekima mwanamke humuwezi, They far more cleverer than men, no wonder Adam alilishwa tunda alillokatazwa, so kazi kwenu kuamua.
 
ndoa yenyewe bado kanisani hutaki kunipeleka unataka kufungua biblia kwa jili ya ubishi?

no dia tukokuelimishana mm na ww atubishani kabisa na ninaomba tufunge mjadala wasije wakanipindua bure dia
 
Biblia imehauri wanaume wakae na wake zao kwa hekima, kwa kuwa usipokuwa na hekima mwanamke humuwezi, They far more cleverer than men, no wonder Adam alilishwa tunda alillokatazwa, so kazi kwenu kuamua.

camel bwana kwa majibu, bro ana kazi!

naomba upitie conclusion yangu niliyomjibu pear halafu utoe comment please
 
mh unajua kwann shetani alimdanganya mwanamke? unajua kwann akumdanganya adamu? akili na hekima ni sawa bible aikusema ni clever ilisema ni wadhaifu tena imesema ni viumbe vidhaifu. je unapingana na hili?
 
Hii inanikumbusha yale maswali niliyokuwa nayachukia sana kwenye historia:
"After the second world war, US emerged as a leading global superpower so did the soviet union. Discuss"!!
 
camel bwana kwa majibu, bro ana kazi!

naomba upitie conclusion yangu niliyomjibu pear halafu utoe comment please
I might be convinced on your conclusion on fair -basis ground, otherwise and from my point of view women will always be clever. If they dont demonstrate it, its because there is a cloud somewhere. Thank you people.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…